Heshima kwenu mabibi na mabwana.
Nimekua nikijiuliza mara kwa mara kuhusiana na suala la usagaji kwa wasichana bila kupata jibu stahiki.Baadhi ya wasichana wanadai kwamba kuachwa na wapenzi wao...
Leo wife alikuwa ananieleza kuwa tangu asubuhi msichana wa kazi ameamka ana hasira nikamjibu labda huyo msichana atakuwa kwenye siku zake ndo maana ana hasira. Wife kafanya uchunguzi wake kagundua...
Ndio kwanza nina wiki moja tangu nichukue hii likizo, kwakweli wanaume hapa mjini tunateseka jamani, leo nimeamua kutembea tembea mtaani yani haipiti dakika mbili lazima ukutane na wadada wamevaa...
Salaam wakuu,
Sielewi kwanini imekuwa hivi siku hizi, wake za watu wanagegedwa sana nje ya ndoa. Hili nazidi kushuhudia zaidi kwa majirani zangu na eneo la kazi hata wengine wake za watu wamekuwa...
"Jamani jamani jamani mwenzenu uwii! balaa tupu huku,naomba kujua ni nini husababisha au kuna tatizo gani labda.Ni hivi mlamu wenu ana hali flani ambayo inanitisha kwakweli. Yani dudu yake nahisi...
Katika ukurasa wake wa mtandao picha (instagram) kaposti hivi kutokana na shutuma alizotoa Jide zidi yake, sisi kama wanaume unamshahuri nini huyu jamaa yetu.
Habari za jioni wadau.
Kuna scenario zaidi ya mbili nimewahi kukutana nazo, sijui ndivyo ilivyo ama hisia zangu zinanidanganya kulikuwa na couple flani, basi mkaka kila anapopokea simu ya bidada...
Nina mpz wangu nilishahisi anansaliti Jana tulikutana nikiwa na ka note3 mpya si akai mind akang'ang'ania nimpe nikamwambia kwa kuwa sina sim nyingine aniachie nikishanunua ndo achukue hii...
Wakuu nina vijana wangu wawili, wa kike na wa kiume. Wote wako high school sasa. Kimasomo naona kama wanaenda vizuri ila kimaadili napata shaka kidogo hadi nimeamua kuomba muongozo kwa wadau...
Habari wadau .
Na swali dogo.
Kama mwanaume ni hatua gani ya awali unaweza kuichukua pindi utakapo mfumania mke wako na njemba mwingine ?
Na
Nn utakifanya pindi utakapofumaniwa ww ...
Habari za jioni
Poleni kwa mihangaiko ya kutwa nzima.Naombeni ushauri kwa hili na tafadhari msinicrash vibaya,kuna binti ambae nilianza nae kama utani mwisho wa siku nimejikuta nikiingia kwenye...
Wanaume wanaendelea kuweka magari yao mafuta ya kiasi kilekile walichokuwa wakiweka mafuta yalipokuwa bei juu.
Magari ya wanawake ni full tank wanajaziwa mafuta na walewale wanaoweka mafuta ya...
Ni staili moja tamu sana haswa mtoto mkali anapokuwa msafi, na pia uwe wewe peke ako ndio unamchumisha
Ebu tuambie wewe inakupaga shida gani hii staili?
Ruksa wote wanaume wa kwa wanawake...
Nawasilisha kwenu mabahari, kama ilivyoandikwa, huu msemo nmeusikia sehemu na umeniingia akilini vilivo.
Maandalizi ya kesho, yameanza jana, na leo ni zawadi.
Nina mpango baada ya miaka nane...
HABARI,
[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Nipo kwenye daladala natoka Kibamba naelekea Mawasiliano
Pembeni yangu kuna dada anajitahidi kuongea kwa sauti ya chini na utulivu, ilhali kwa muonekano...
Swalaamaaa wana MMU
Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza kwa nini wanawake wengi na mabinti wa kanda ya ziwa wana chale mwilini!!?
Chale hizo zinaonekana hasa maeneo ya kifuani kwa juu karibu na...
Sijui kwanini inakuwa hivi Hawa vijana wa siku hizi wakifanikiwa ktk maisha huanza kumuona mama ni bora kuliko baba ........
Wanasahau sisi wanaume ndo risk taker tunapambana usiku na mchana ili...
Mambo ya Dom na ndoa za watu....Majuzi nilikuwa nagegeda demu wangu mmoja hivi ambaye ni mke wa mtu amehamia huku Dom kama mimi...Sasa wakati tupo katikati ya tendo mmewe alikuwa ana piga simu...
Habari,
Kweli nimeamini mjini ndio kila kitu! Hivi hawa wanawake wanao patikana hapa dar mbona wako tofauti sana na wa mikoa mingine?
Wale wanaume mnaokaa huko mikoani njoneni mchukuwe wanawake...