Kuoa mwanamke asiye na bikra ni kuoa mke wa mtu..

Jstar1

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,389
1,337
Nawasilisha kwenu mabahari, kama ilivyoandikwa, huu msemo nmeusikia sehemu na umeniingia akilini vilivo.

Maandalizi ya kesho, yameanza jana, na leo ni zawadi.

Nina mpango baada ya miaka nane, panapo majariwa ntachukua jiko ila mpaka saivi nimekua baharia mmoja makini, nmekua nikitoa wadada bikra kama wanne na kuwaacha ata saivi ninaojua walipo ni wawili tu ila hawakunivutia machoni, na skua na mpango nao maana ata maisha yangu ni upside down.

Sasa kuna mabaharia walooa na kuna mabaharia wakavu, naombeni ufafanuzi kuhusu huu msemo, kama ni kweli basi io miaka 8 yangu, nianze kutafta demu bikra, naamini sitakosa, japo mara nyingi hua siwapendi kutokana na usumbufu.

Na wale mnaooa wanawake ambao hawana bikra, ni kweli, mnaoa wake za watu, kwamba ata baada ya miaka 10, anaeza kukugeuka, na io ni mingi yawezekana ata siku ya harusi.

Baharia mwenzenu naamini sana kwenye maono ya mwanamke, ila sasa akija kusumbua, watoto watakua mabaharia mapema sitaki hio itokee, nawapenda sana wanangu wanne, japo sijawazaa. Naomba ufafanuzi kuhusu io kauli mbiu...

Nawasilisha......
 
Subiri ukue kwanza na maziwa uliyonyonya kwa mama yako yakukauke mdomoni, nadhani baada ya hapo utakuja na uzi tofauti kabisa.
 
Mabaharia wenzako wote wamehamia Facebook we bado unatafuta nini humu?

Halafu Unajisifia ujinga kuwaharibu watoto wa watu? Hiyo ni akili au tope. Nyie watu mnaojiita mabaharia mbona mna akili za kiduanzi hivyo kwani mnakwama wapi?
 
Mabaharia wenzako wote wamehamia Facebook we bado unatafuta nini humu?

Halafu Unajisifia ujinga kuwaharibu watoto wa watu? Hiyo ni akili au top. Nyie watu mnaojiita mabaharia mbona mna akili za kiduanzi hivyo kwani mnakwama wapi?
kafatilie udaku wako kule, kwani akibaki nayo ataiuza
 
Unachowafanyia watoto wa wenzio utataka na watoto wako hao wanne wapitie hayo?!

Tuko kwenye dunia moja, mthamini mtoto wa mwenzio, uzuri malipo huwa ni hapa hapa mkuu!

N.B, Ukioa usisahau kuvunja hayo madhabahu, hakuna dhambi mbaya kama ya uzinzi. Inakuunganisha na kiroho na madhabahu ya huyo mtu, jiulize umebeba mangapi?!
 
Mabaharia wenzako wote wamehamia Facebook we bado unatafuta nini humu?

Halafu Unajisifia ujinga kuwaharibu watoto wa watu? Hiyo ni akili au top. Nyie watu mnaojiita mabaharia mbona mna akili za kiduanzi hivyo kwani mnakwama wapi?
Mbona povu, kwani anatumia mb..o yako mkuu
 
Back
Top Bottom