westgate
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 278
- 279
Ndio kwanza nina wiki moja tangu nichukue hii likizo, kwakweli wanaume hapa mjini tunateseka jamani, leo nimeamua kutembea tembea mtaani yani haipiti dakika mbili lazima ukutane na wadada wamevaa nusu uchi.
Wanaachia mapaja yao nje kabisa, wengine vifua vinaonekana,hana tofauti na wife akiwa anaenda kulala,nimeingia Mlimani City kwakweli nlitamani kuondoka,tunatesana wadada wengine tumeoa na tunawapenda wake zetu hizo nguo vaeni ndani kwenu.