Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Huu ndio ukweli kila mwanaume anapaswa kuujua: 1. Hofu zako kuu. Leo anaweza kukufariji… kesho akazitumia kama silaha dhidi yako. 2. Kiasi halisi cha salio lako la benki. Siri = nguvu. Uwazi...
21 Reactions
35 Replies
2K Views
Natamani tuishi wote Sasa nifanyeje jamani? Nina mwanaume tunafanya kazi sehemu moja yeye anaishi kwake na mimi kwangu,nitumie njia gani Ili tukae wote niliwahi kumuambia tukae wote akasema...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Natafuta mchumba wa kike Vigezo awe amezaliwa 1. MWAKA 1998 1999 Au 2003 2. Mwezi wa kuzaliwa Wa9 Wa5 Wa6 Wa2 Wa4 Wa7 Wa11 3. Tarehe ya kuzaliwa 2 6 9...
7 Reactions
37 Replies
1K Views
Natafuta mke awe bi mdogo mke wa pili awe Dar. My no 0762405010
10 Reactions
51 Replies
2K Views
Watu wengi wanasikia tu kauli kuwa sio vizuri kumnyima mwenye njaa chakula lakini wengi wao hawana ufahamu hata kidogo kwasababu gani ni mwiko na kosa kumnyima mtu chakula. Kuna wengine anaweza...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu, Huu ni mtindo ambao vijana wa kileo huufanya,ila ipo siku,kama sio leo basi kesho utakugharimu vibaya mno. Utakugharimu huenda hela ikaliwa,binti akapata matatizo nk. Nimewasanua msije...
7 Reactions
48 Replies
2K Views
  • Closed
😂 (IMAGE REMOVED) Nilikuwa natafuta picha Google drive nikakutana na hii! ! Hili ni moja ya maballistic missiles yaliyonipiga. Lilileta maafa makubwa kisaikolojia. Thankfully NO Bluetooth...
15 Reactions
40 Replies
2K Views
Unaenda kikazi au kibiashara unafika mji mpya mfano Dodoma unapanga chumba halafu unaenda reception unaomba utafutiwe mwanamke wakulala nawewe hujui kama ni jambazi, muuaji au anamagonjwa wewe...
40 Reactions
202 Replies
9K Views
Almost 80% ya wanawake wanaishi na waume ambao sio chaguo lao halisi. Yaani they just " settled" with their current husbands baada ya kushindwa kupata wanaume WA ndoto Zao. Kwa utafiti...
16 Reactions
51 Replies
3K Views
Ndoa Ndoano Ni mke wangu wa ndoa na tuna watoto copy yangu kabisa Kutokana na migogoro ya hapa na pale tulitengana ila tulikua tunawasiliana kujua hali za watoto Mara zote mimi ndo nilikua napiga...
7 Reactions
58 Replies
3K Views
Uchunguzi rasmi umeanza kwa Watawa wawili wa Kanisa Katoliki ili kuweza kujua ni kivipi wameweza kupata Ujauzito wakati walipokuwa katika Ziara ya Kikanisa katika bara la Afrika. Na Kanisa hilo...
2 Reactions
47 Replies
7K Views
Bibi wa miaka 86, ameapa kutojihusisha tena na mapenzi baada ya kumtosa kijana wa misri mwenye umri wa miaka 37. Iris Jones na Mohammed Ibrahim walikutana katika mtandao wa kijamii mwaka 2019...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndoa inaweza haribu maisha ya mtu, ndoa inaweza fanya ukachanganyikiwa ( itategemea umenyooshwaje na mwenza wako ), ndoa inaweza fanya ukapata kiharusi au magonjwa ya moyo au depression. Leo...
17 Reactions
73 Replies
2K Views
Wakuu, Makolo lazima wakae hiyo june 25,na kama wakikaza sana basi sare tena sare tasa, Kwa hiyo tutakuwa tumetangazwa rasmi ubingwa huu wa mara ya nne mfululizo Ifuatayo ni ratiba ndogo ya yanga...
1 Reactions
3 Replies
477 Views
Binafsi sivutiwi kabisa na makalio ya mwanamke, yawe madogo, size ya kati au makubwa hayanisisimui chochote kile nikiyatazama Ukiona nmepishana na mwanamke na nmegeuka nyuma, Basi jua akili yangu...
36 Reactions
784 Replies
44K Views
Niaje wakuu. Natumaini mko poa. Unapofungua uzi kwa sasa hapa Love Connect ni kawaida sana kutukanwa, members kukukejeli kwa vigezo vya mtu unaemtaka au vigezo ulivyo navyo. JamiiForums ni...
33 Reactions
240 Replies
6K Views
𝚂𝚎𝚑𝚎𝚖𝚞 𝙸 𝑵𝒂. 𝑱𝒐𝒉𝒏-𝑩𝒂𝒑𝒕𝒊𝒔𝒕 𝑴. 𝑵𝒈𝒂𝒕𝒖𝒏𝒈𝒂 _______________________ Moja ya tofauti iliyopo kati ya Mwanaume na Mwanamke ni kwamba Mwanaume anahitaji sana Utulivu na Amani ya Akili (Peace of Mind)...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Hapo chini kwenye video Diamond Platnumz anazungumza namna alivyosalitiwa na mpenzi wake aliyekuwa nae akitoka kimapenzi pia na Waziri wa Nishati wa kipindi icho, mpenzi anayehisiwa kumsaliti...
6 Reactions
65 Replies
3K Views
Leave her kama ulivyomkuta, ukichokonoa nyaya zitazidi volti utapigwa shoti mwanamke ukimuoa mwache aishi kama ulivyomkuta usiingie mtego wa huruma au kwasababu una vijihela na connections...
8 Reactions
12 Replies
704 Views
Msongo wa mawazo ni hali ya mfadhaiko wa kiakili ambao hujitokeza ghafla pale ambapo mtu anapokuwa na shida, tatizo,au kikwazo chochote ambacho hana uwezo wa kukabiliana nacho.Uwezo wa kukabiliana...
1 Reactions
3 Replies
542 Views
Back
Top Bottom