Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu huu umalaya ninaouona ni kawaida au ni wanawake wa huku wamezidi..? Huku umalaya umezidi uchepukaji. kwa wanawake walio olewa nawaona sana wanachepuka yani wiki haipi nakuta mke wa mtu...
4 Reactions
29 Replies
515 Views
Habari ndugu zangu Naomba hii nipate uzoefu kutoka kwa wajuzi wa mambo, Inakuaje mtu ameolewa halafu anadai akopeshwe pesa lakini anakupa shariti la mmeo asifahamu kama kachukua pesa. Swali ni...
7 Reactions
53 Replies
729 Views
Wadogo zangu wa 2005 heti tayari wana watoto na wapo kwenye ndoa kweli sisi 2000 tushazeeka🀣🀣
4 Reactions
88 Replies
1K Views
Wanaume wadhaifu/Nice guys kwenye mahusiano au ndoa ni wale wanaokosa uwezo wa kusimama kama viongozi, kufanya maamuzi sahihi, au kubeba majukumu yao ya kihisia na kifamilia. Udhaifu huu hapa...
3 Reactions
1 Replies
150 Views
Nina miaka 30 sitaki vibint maana mimi mzee nataka singo matha wa watoto wawil alafu niongeze wawil wa kwang wote watakuwawakwangu. nataka atakaye ridh...
1 Reactions
16 Replies
215 Views
Shimboni, 2016- nimetulia zangu mtaani ghafla sister binamu ananiletea kischana kizuri , ananitania kaka nimekuletea mchumba naona umekaa kizembe sana, nikatabasamu, ilikuwa jioni ya saa mbili...
3 Reactions
20 Replies
605 Views
Naona saiv hili suala la wanawake kujitafuta kiuchumi kabla ya kuolewa lmekua common sasa. Zamani tulizoea mwanaume ndo anajitafuta kwanza kisha aoe lkn saiv meza imepinduka, kila mwanamke...
8 Reactions
46 Replies
497 Views
Singapore, mvinyo, na mrembo.nakula Maisha hayahitaji zaidi ya haya.na maisha polepole... na mrembo mzuri kando yangu πŸ·πŸ‡ΈπŸ‡¬
2 Reactions
18 Replies
387 Views
Hili limekuwa likinikishangaza sana 😒 majibu sipati,alisema suzy nimeolewa na mume wangu kwa miaka 5 na tuna watoto 2, na tumejenga nyumba yetu nzuri na tuna usafiri wetu, kwa kifupi maisha yetu...
13 Reactions
117 Replies
1K Views
Wengi huwa wanajidanganya, kwa kusema fulani ni rafiki yangu wa katika shida na raha. Na wengine mpaka wanaitana shoga yangu n.k Ila ukweli ni huu; wote ni wasaka fursa, ila kwa sasa mnapeana tu...
14 Reactions
30 Replies
381 Views
Wakati wanaume wakitamba na β€˜kula tunda kimasihara’, hawajui kuwa nao huwa wanapigwa matukio kimkakati na wanawake. Kuna waliosingiziwa mimba - wakalea na kutoa matumizi miaka nenda rudi (na...
9 Reactions
17 Replies
332 Views
VIJANA KWA KUJIPA MATATIZO HAMJAMBO. MAISHA YAKUUNGAUNGA(CHINI YA 1M) BADO UNAOA SINGLE MOTHER'S? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mtake msitake lazima muambiwe Ukweli. Hivi mmekosa wazazi wa...
5 Reactions
39 Replies
486 Views
Alikuwa anakaa Magomeni, sasa anajua kuwa mi ni mtu wa mguu na njia hasa nchi za watu huko nchini sikai sana. so akajua kuwa ntakuwa na mapene, basi akawa anahangaika sana kunitega maana tulikuwa...
11 Reactions
57 Replies
2K Views
Kuna dada nampenda sana, kila nikimueleza anakaa kimya na kujing’atang’ata tu. Je, ananipenda au? Nipeni ushauri wakuu. NAWASILISHA"
10 Reactions
104 Replies
1K Views
Kama Mlivyoona Kwenye Kichwa Hapo Juu Nataka kushea Story ya Maisha YANGU Kidogo Kama watu mtapata namna ya Kujifunza au kuburudika sawa Tuu.....ila story Ni ya kweli lakini Nitaichakachua kwa...
4 Reactions
52 Replies
2K Views
Mwaka flani nlienda Tanga kikazi. Nikakaa mwezi na nusu Hotel. Nilifanikiwa kupata mtoto mmoja mkali wa Kidigo. Sura nzuri kifua kimevimba hakuwa sana na Tako lakini si haba alikuwa akijua mahaba...
15 Reactions
46 Replies
4K Views
Leo nimekaa nikakumbuka mkasa mmoja uliotokea miaka kadha iliyopita. Mwaka fulani nikiwa natoka Jeshini (841 KJ- Mafinga) mujibu wa sheria nilibahatika kukutana na zali la mentali hili...
24 Reactions
145 Replies
3K Views
Ni zile aina ya ndoa mwanaume anatafutiwa mke na wazazi, ndugu wa wazazi au ndugu zake watu wazima.
6 Reactions
43 Replies
787 Views
Usije ukamwaga mpaka nikuambie 😭 Hii nikauli nliyokua naambiwa namkewangu mwaka 2025 lakini yote kwa yote tuliachana Kwa Sasa nibora nizae na mtuu kuliko kuoaa πŸ™. Je ulishawahi ambiwa hii kauli
10 Reactions
31 Replies
685 Views
Poleepolee utasemaa yoote mama mkweee Hivi lile gari walikupatia kadi ama ndioo ulikuwa usanii na nkkweoo πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ nchitamuhiii
4 Reactions
7 Replies
425 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…