habari ya weeked!!!
katika kuadhimisha siku hiyo hebu tukumbuk kidogo huko nyuma tulipokuwa wadogo (watoto) kama wa kiafrika.
je ni jambo gani utawashukuru , pongeza, laumu au hata kuto kusahau...
Serious girl friend is needed
Location:dar es salaam, morogoro & dodoma
Age:21-40
Job:she must be working or business lady
Language:English & swahili.
Any one who is ready just pm!!!!
Salamu wandugu.
Wadada hakikisha unapokua na boy friend basi awe na uwezo wa kukutimizia mahitaji yako yote muhimu, isiwe una mpenzi huku unapiga vibomu wa wanaume wengine.
Unakuta mdada...
Kwakweli kama dude ndo nimeliamsha limeamka sawasawa.
Baada ya kuhamia kwenye chumba changu kipya takribani wiki moja hivi beki tatu wa jirani akaanza kunizoe mara nikipita ananiomba simu mara...
Habar wakuu. .
Nina mwanamke Wang ambae nimedumu nae takriban miez 10 Japo changamoto ni nyingi sana lakini nimeendelea kumpenda nikiamini atabadilika .
Kwa mala ya Kwanza niliigundua tabia yake...
Habari zenu wana jamiiforums natumaini mko poa kabisa ,
Aisee hamuwezi amini sasa hivi nipo masankuloni nimekaa natazama wadada wanavyokatika ili nichague mmoja wa kwenda kula nae utamu leo usiku...
Madelo gawiza........?
Napenda kuleta matokea ya utafiti huu mdogo nilio ufanya katika harakati zangu za kusaka mgegedo..naomba niweke wazi hizi harakati sio kama za pimbi au lodilofa..hizi ni...
Ninakwazika sana pale ninapopishana na dem in a minute ila unajikuta marashi yake yanakuvuruga mpaka ubongo na kichwa chauma.
Jamani kuweni natural...
Pafyum haitoi na kamwe si suluhisho la K...
Ndg wanajamii habar zenu!
Natumaini kuna wazoefu wa mahusiano ya aina mbali mbali (mahusiaono ya mume na mke] humu.
Binafsi sijawa mzoefu wa kujua maisha ya mahusiano kati ya mpenda kuongea sana...
Salaam, wakuu suala visasi, ukatili na usaliti vimekuwa ni jambo la kawaida kwa sasa miongoni mwa jamii..
Unakuta mke wa mtu anachepuka na vijana mtaani, vivyo hivyo kwa wanaume pia na mabint za...
Kumekuwa na matukio mengi sana siku za karibuni na yakizid kuongezeka kadri siku znavyokwenda. Matukio haya yamekuwa yakitokana na kukosekana kwa uaminifu kwny ndoa. Lakini kitu cha kushangaza...
Huyu mbebez nilitegemea akitoka huko kuzimu atakuwa amejirekebisha lakini imekuwa ni kinyume kabisa.
Ujue humu jf hakuna sehemu tamu ya kumrudisha mtu kuzimu kama kule 'siasani' bana. Jamaa...
Ewe Mwanaume mwenzangu uliyepanga katika Nyumba ambayo Choo chenu na Bafu lenu lipo kwa nje usije kujidanganya kuwa Demu wako/Mkeo huyo hakusaliti abadan bali leo napenda nikufichulie tu Siri...
Habarini wapendwa,
Kuna haka katabia ka wife sijakapenda, lakini sijui kama yupo sahihi.Kila mara ukifika muda wa kulala, hutangulia kwenda chumbani kwa kusema "naenda kulala".
Najiuliza kwa...
Single Mother Part One.
TBTG-Mtandao wa , www.singlemotherguide.com unaonyesha ya kuwa duniani kuna akina mama wanao lea watoto bila baba zao Milion 9,781,000 ambayo ni sawa na 83.0% na kuna...
Ni binti mwenye umri wa miaka 25 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati
sifa zangu
sina mtoto
sijawai olewa
nimewai kuwa na mahusiano
elimu kidato cha nne
sio mnene wala sio mwembamba
rangi ya...
Alitokea baba mmoja ambaye mungu aliibariki nyumba yake,akawa na mali nyingi na utajiri wa kila namna
ajabu ni kwamba baba huyu hakuthamini mali hizi. zaidi familia yake iliishi kwa mateso kwani...