Al-Watan JF-Expert Member Apr 16, 2009 11,891 14,580 May 27, 2017 #2 Ushaambiwa "Binamu nyama ya hamu". Unaelewa maana yake?
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,470 70,590 May 27, 2017 #3 Kuna kitu kinaendelea hapo mkuu..Chunguza mienendo kwa kina
rubii JF-Expert Member Feb 22, 2015 13,621 17,573 May 27, 2017 #4 Binafsi sijaelewa hii movie.... Ushauri wangu ni Duniani hakuna wapekeyako labda umuumbe mwenyewe. Relax enjoy maisha!
Binafsi sijaelewa hii movie.... Ushauri wangu ni Duniani hakuna wapekeyako labda umuumbe mwenyewe. Relax enjoy maisha!
Amoxline Member Apr 20, 2017 75 49 May 27, 2017 Thread starter #5 rubii said: Binafsi sijaelewa hii movie.... Ushauri wangu ni Duniani hakuna wapekeyako labda umuumbe mwenyewe. Relax enjoy maisha! Click to expand... Dah
rubii said: Binafsi sijaelewa hii movie.... Ushauri wangu ni Duniani hakuna wapekeyako labda umuumbe mwenyewe. Relax enjoy maisha! Click to expand... Dah
Amoxline Member Apr 20, 2017 75 49 May 27, 2017 Thread starter #6 Joseverest said: Kuna kitu kinaendelea hapo mkuu..Chunguza mienendo kwa kina Click to expand... Fact
mgunga pori JF-Expert Member Jul 23, 2016 4,084 4,878 May 27, 2017 #7 Mkuu kizuri kula na nduguyo bhana
enjai ya kyasha JF-Expert Member Apr 6, 2017 3,072 3,600 May 27, 2017 #8 Binam anakusaidia majukum mkuu au hupendi kusaidiwa wewe
mjoli wa kweli JF-Expert Member Jan 26, 2017 630 381 May 27, 2017 #9 Zimwi likujualo halikuli likakwisha mkuu
Galapagosi JF-Expert Member Apr 21, 2017 2,848 2,634 May 27, 2017 #11 Binamu nyama ya hamu kuwa makini hapo
Amoxline Member Apr 20, 2017 75 49 May 27, 2017 Thread starter #12 mwangellahs2 said: Sisi kwetu kule,binamu ni nyama ya hamu!! Click to expand... Unamaana gani mkuu
mwangellahs2 Member May 1, 2017 20 8 May 27, 2017 #13 Amoxline said: Unamaana gani mkuu Click to expand... Sisi mpaka huwa tunaoa/olewa kabisaaaa!!!
Black hermit JF-Expert Member Mar 20, 2017 658 951 May 27, 2017 #14 Labda binamu yake naye anashiriki kukusaidia, fanya uchunguzi wa kina boss ukibaini madudu piga chini
Labda binamu yake naye anashiriki kukusaidia, fanya uchunguzi wa kina boss ukibaini madudu piga chini
Bonny JF-Expert Member Feb 21, 2013 13,370 29,961 May 27, 2017 #15 Embu jiamn bas khaa binamu tu anakupa presha ingekua co worker Si ungezimia
Pharm D JF-Expert Member Feb 17, 2017 1,234 3,001 May 27, 2017 #16 rubii said: Binafsi sijaelewa hii movie.... Ushauri wangu ni Duniani hakuna wapekeyako labda umuumbe mwenyewe. Relax enjoy maisha! Click to expand... Azingatie huu utamfaa sana
rubii said: Binafsi sijaelewa hii movie.... Ushauri wangu ni Duniani hakuna wapekeyako labda umuumbe mwenyewe. Relax enjoy maisha! Click to expand... Azingatie huu utamfaa sana
ElPuto Jefe JF-Expert Member Oct 16, 2015 5,281 19,387 May 27, 2017 #17 Miaka 23 unaolewa!? Nyie ndio mnakuja kusumbua uzeeni..!!
misstrace JF-Expert Member Oct 5, 2016 649 1,483 May 27, 2017 #18 Utaacha wangapi kila siku, shikamana hapo hapo ila akikisha hayo mazoea yao unayaua.
sergio 5 JF-Expert Member May 22, 2017 9,090 10,018 May 27, 2017 #19 Ndivyo walivyo mabinamu Tabia zao kma mwana fa