data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,647
- 23,477
Ninakwazika sana pale ninapopishana na dem in a minute ila unajikuta marashi yake yanakuvuruga mpaka ubongo na kichwa chauma.
Jamani kuweni natural...
Pafyum haitoi na kamwe si suluhisho la K inayotema...
Mnatukera kwakweli...hasa kwa sisi tunaotumia public transport.
Basi... Mkiumia ndo nshasema.
Jamani kuweni natural...
Pafyum haitoi na kamwe si suluhisho la K inayotema...
Mnatukera kwakweli...hasa kwa sisi tunaotumia public transport.
Basi... Mkiumia ndo nshasema.