Makau Js Member May 25, 2017 93 233 May 27, 2017 #1 1:Amepewa mimba amepata mtoto mhusika kamkimbia 2: Amemtambulisha msichana & vikao vya harusi tayar alafu girl anatoweka Nani ameumia zaidi?
1:Amepewa mimba amepata mtoto mhusika kamkimbia 2: Amemtambulisha msichana & vikao vya harusi tayar alafu girl anatoweka Nani ameumia zaidi?
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,509 70,640 May 27, 2017 #5 mjoli wa kweli said: Mmoja kati yao Click to expand... Hahahaha yupi huyo mkuu
Galapagosi JF-Expert Member Apr 21, 2017 2,848 2,634 May 27, 2017 #6 Huyo wa kwanza amefanya ujinga sio kuumiza. Sitoikaba damu yangu
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 128,660 154,801 May 28, 2017 #7 1. Ni lawama.. 2. Ni fedhea... Kheri fedhea kuliko lawama... Cc: mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Apr 9, 2013 67,020 168,016 May 28, 2017 #8 Smart911 said: 1. Ni lawama.. 2. Ni fedhea... Kheri fedhea kuliko lawama... Cc: mahondaw Click to expand... Smart911 love Nani anaumia zaidi???
Smart911 said: 1. Ni lawama.. 2. Ni fedhea... Kheri fedhea kuliko lawama... Cc: mahondaw Click to expand... Smart911 love Nani anaumia zaidi???
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 128,660 154,801 May 28, 2017 #9 mahondaw said: Smart911 love Nani anaumia zaidi??? Click to expand... mahondaw wangu... Aliyeachwa hawezi umia sana kama aliyeachiwa...
mahondaw said: Smart911 love Nani anaumia zaidi??? Click to expand... mahondaw wangu... Aliyeachwa hawezi umia sana kama aliyeachiwa...
mjoli wa kweli JF-Expert Member Jan 26, 2017 630 381 May 28, 2017 #10 Joseverest said: Hahahaha yupi huyo mkuu Click to expand... Mkuu mimi naona zaidi ni huyu wa vikao half binti akakimbia.
Joseverest said: Hahahaha yupi huyo mkuu Click to expand... Mkuu mimi naona zaidi ni huyu wa vikao half binti akakimbia.
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,509 70,640 May 28, 2017 #14 mjoli wa kweli said: Mkuu mimi naona zaidi ni huyu wa vikao half binti akakimbia. Click to expand... ahaaa poa
mjoli wa kweli said: Mkuu mimi naona zaidi ni huyu wa vikao half binti akakimbia. Click to expand... ahaaa poa