kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,702
Ndg wanajamii habar zenu!
Natumaini kuna wazoefu wa mahusiano ya aina mbali mbali (mahusiaono ya mume na mke] humu.
Binafsi sijawa mzoefu wa kujua maisha ya mahusiano kati ya mpenda kuongea sana ama kwa jina lingine mcharuko (extrovert] na mwingine Si mpenda kuongea ongea {introvert}; Je kwa wazoefu wa mahusiano, ni changamoto zipi zilizopo kwa mahusiano ya watu wa aina hii?
Kwa mfano mwanamke ni mcharuko {extrovert} na mwanaume ni introvert {si muongeaji}