No kweli kuwa sio jambo LA kukana/kupinga kwamba wanaume tunapaswa kulaumiwa juu ya sex before marriage na kusababisha watoto out of wedlock.
Nyie akina Dada mnawaamini vipi wanaume? Hata...
Wandugu katika mahusiano ya ndoa......Chungeni ndoa zenu hasa mnapokuwa katika mwili mmoja kwani walio wengi kwa utafiti nilioufanya 80% ya Wanawake tangu wawe kenye ndoa hawajawahi kufika kilele...
Mapenzi ni furaha, upendo, amani na maelewano mema kwa wapendanao. Lakini wakati mwingine upendo hutoka kwenye hali ya kuwa ya furaha na kuwa kero na maudhi. Mambo yafuatayo hukera sana wanaume...
Wanaume wengi wanapata shida sana. Unakuta mwanaume ana pesa, kazi nzuri.
Kifupi unakuta mwanaume ana status nzuri tu lakini anakosa mwanamke anayejielewa.yaani wengine hadi wananiuliza...
Nimejaribu kufuatilia wasichana/watoto wengi wa kike ambao wamelelewa na mama tu kama familia ya mzazi mmoja au familia ambayo mama anatawala wanakuwa
1. wana kiburi sana kwenye jamii
2. Hawana...
Wanajamvi habari?
Siku hizi ni kama fashion wanawake kuzaa,yaani kila msichana siku hizi ana mtoto,awe ni ugly face au ni gorgeous wote wanazaa tu siku hizi,yaani 90% ya wadada wana watoto na...
Katika mapenzi kumekuwa na changamoto kubwa sana juu ya kuishi na mpenzi wako pale anavyoishi na ma ex wake inapotokea kuwa kero kwako. Ni vigumu sana kuoa au kuwa na mpenzi ambaye hakuwahi kuwa...
SingleMother-Usimruhusu mwanaume aliyekuharibia future yako kwa kukupa uja uzito na kukukimbia na kumruhusu kuja kukuvunjia ndoa yako mpya, kuwa makini na mwenye nidhamu pamoja na heshima na...
ELIMU YA BURE YA ASILI NA SAIKOLOJIA YA MWANAMKE NA MWANAMUME (Kwa kifupi).
Andiko hili, nimeliandika kwa usaidizi wa karibu wa kitabu cha Dr.JOHN GRAY kinachoitwa "MEN are from MARS, WOMEN are...
Wanawake ni wengi sana katika dunia tunayoishi, semi nyingi zimetawala juu ya mwanamke mzuri. Upo usemi unaosema wanawake wazuri bado hawajazaliwa, wengine husema uzuri wa mwanamke ni tabia na...
Salama watu wa Mungu,
Poleni na mihangaiko ya maisha baada ya hayo kama kichwa kinavyoeleza,mwenzenu ni mkubwa kwetu nahitaji msaada maana wadogo zangu wanataka kunirusha akili.
1.anaenifuatia ni...
Habari zenu?
To cut the story short, kuna rafiki yangu ( msichana) ana mchumba wake, takriban miez miwili sasa. Tatizo yule kaka haeleweki ( maneno ya mlalamikaji), yaan kama vile yupo hayupo...
Habari zenu wapendwa & memba wote wa jf.
Nina matumaini wote ni wazima wa afya na tumshukuru mungu kwa mema & uweza wake kutupa pumzi & kutulinda mpaka leo hii.
ndugu zangu wa jf,
Kama kichwa...
Ujue kuna nyakati huwa tunawaamini sana watu wetu wa karibu, kiasi kwamba hata kuwakopesha, au kuwachukulia dhamana kuhusu jambo fulani huwa hatuoni ugumu,
ila kimbembe kinakuja kwenye kulipana he...
Hallow wana Love Connect.
Nahitaji love kutoka kwa binti anayejitambua na anayetambua thamani ya mapenzi. I'm 27 yz, niko dar kwa aliye serious anakaribishwa PM.
Aliyekua mke wangu Kisha tukaachana Miaka 7 iliyopita, Tulibahatika kupata mtoto mmoja, mwaka jana akaamua kuchepuka na mwanaume mwingine na Kupata Mimba, sasa hivi karibuni amejifungua kwa...
Habari wakuu,
Jumamosi nimepanga kuonana na mtoto mmoja, unaya wake sitaki nataka. Yani tupo kwenye mahusiano ila hataki kutoa mchezo
Dawa ya watu kama hawa ni kwenda nao restaurant au bar...