Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Wanawake ni wengi sana katika dunia tunayoishi, semi nyingi zimetawala juu ya mwanamke mzuri. Upo usemi unaosema wanawake wazuri bado hawajazaliwa, wengine husema uzuri wa mwanamke ni tabia na wengine husema uzuri wa mwanamke ni sura basi mambo ni vurugu tupu.
Uzuri wa mwanamke ni mchanganyiko wa vitu vingi, mwanamke mzuri namfananisha na kanga nzuri nyeupe lakini ikiwa na doa kidogo inapoteza uzuri wake. Hivyo ili iendelee kuwa safi lazima ihakikishe haina doa hata kidogo vivyo hivyo na upande wa mwanamke ili awe mrembo na mzuri lazima asiwe na doa hata tone.
Mwanamke mzuri na mrembo huwa na mkusanyiko wa sifa zifuatazo:
Awe na heshima
Asiwe malaya
Awe msafi wa nguo na mwili
Awe na sura ya kung'aa
Awe mpole kiasi
Awe mjasiri
Asiwe mlevi
Asiwe na Tamaa kupita kiasi