LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 516
Nimejaribu kufuatilia wasichana/watoto wengi wa kike ambao wamelelewa na mama tu kama familia ya mzazi mmoja au familia ambayo mama anatawala wanakuwa
1. wana kiburi sana kwenye jamii
2. Hawana nidhamu kwenye mambo mengi sana ya kijamii
3. Kiburi na kutaka kutawala kwenye mahusiano hutokea na ndoa maana huwa wana migogoro mingi
4. Si wavumilivu kabisa
5. ---------
N.K
Fanya haka kautafiti, utaona. Nashauri kabla ya kuoa, kijana angalia familia ya binti kama analelewa na mama tu au mama anatawala familia kwani hurithi hiyo tabia.