Suala la Kujichua kwa wanawake

Inatokana na kuwa yeye mwenyewe anajijua wapi ajishike penye hisia kali itakayomfanya amalize mapema, kwa ushahidi zaidi ni pale msichana anapoanza kuwa lesbian huwa hatamani tena kukutana na mwanaume
 
Nmekupata mkuu
 
Hapo ndyo utajua ukubwa wa muwa siyo utamu wa muwa..na utami wa ndizi umpate mpikaji mzuri wala siyo ukubwa wa chungu!!Aina ya ndizi yategemea na mlaji!!
Nb.wanawake wwngi hawajui miili yao..wao wanajua kula tuu..ba wanaume wengi hawangalii wanapikaje.wanachojua kupika tu iww mshale malindi..bukoba mzuzu basi wao wanapika tuu!!
 
Mwanaume unapoambiwa kuwa mbunifu kwa mwanamke wako ni pamoja na Kujua wapi utapitia ili kumfikisha kituo chake huyo Mrembo wako.
 
Hajafafanua hili suala ni lake au katoa mtazamo tu.
Namaanisha huyo mmama ni mbinafsi, mapenzi ni ushirikiano na uwazi, kwa nini afurahie kujifikisha kileleni badala ya kufikishwa na mwenzie? Hata mwanaume uwa anahisi amani na furaha pale anapohisi amemfikisha mwenzie kileleni!
 
Mwanamke hawezi kukwambia atahisi utamwona malaya. Cha msingi ni kujiongeza tu.
 
Back
Top Bottom