Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Miaka Wakati Katika Siku Kuanzia 0 - 05 Umri huu ni Alfajiri 06 - 10 wakati wa asubuhi 11 - 20...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Posted as received: LETTER TO AFRICAN PARENTS Dear All- Let's be real. I wish to start by adding the benefit of my time as a student and then resident in the UK. Living in Abuja now. The...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Historia yangu ni ndefu, ila nafupisha kadri iwezekanavyo. Nikiwa na umri wa miaka 17, nikatiwa mimba, alie nitia mimba alitaka kunioa, nilimkataa kwa sababu miguu yake mirefuu sana, na macho yake...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
jamana nawauliza tu wadau msaada wenu kwa tafsiri pana ya Kitu kupenda au kumpenda mpenzi.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Moyo wangu unaniuma sana huwa najiuliza maswali mengi na sipati jibu la kunifariji. Hivi kweli Mungu ndivyo alivyotaka iwe hivi ama? Nimetokea kwenye familia ya kawaida sana yeye single mother...
10 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari za majukumu ndugu zangu, Natumai wazima wote, Sina ndugu wa kuomba ushauri zaidi ya rafiki zangu wa JF kwani kwangu JF ni zaidi ya ndugu, rafiki, na jirani zangu. Naombeni ushauri wenu...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Ahsanteni sana kwa wanawake wote kwa kuwa warembo, najua ni jitihada kubwa mnafanya kuwa warembo hivyo, mara nyingi sisi wanaume tumekuwa wabinafsi wa shukrani na leo kwa niaba ya wanaume wote...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
=Mwanaume kama una nyimbo 5 au zaidi kwenye simu na hakuna ya hiphop hata 1 wewe ni shoga. =Mwanaume kama unaandika vepee wewe ni shoga. =Mwanaume unachat na mwanaume mwenzako unamwambia niambie...
14 Reactions
46 Replies
7K Views
Umepata BWANA umempenda kweli kweli na UMEMLALAMIKIA sana eti kwanini HAKUPELEKI kwa WAZAZI wake KUKUTAMBULISHA! JAMAA akagoma sana mwishowe akaona isiwe kesi AKAKUPELEKA! Wewe badala hata...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari za mda huu wanajukwa la MMU Mimi naenda moja kwa moja kwenye mada kwamba kuna ka tabia fulani hivi huwa sipendi kabisa .... KWA mfano nina uwezo wa kumfukuzia binti hata kwa miezi...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Mahusiano mengi sana na ndoa nyingi sana zinaingia matatani kwa kosa la aidha kutoka nje ya ndoa au kukosa uaminifu. Lakini je kabla ya kuanza kuhisi mwenzio kutoka nje huwa unafikiri kuhusu "sex...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie namna ya kumkaribia rafiki yangu ili awe mpenzi wangu kwani kiukweli ninampenda kwa dhati sana.
1 Reactions
59 Replies
8K Views
...TAZAMA UKU...Mume anamla mke makalio ...TAZAMA KULE...Baba anamtafuna bintie wa kumzaa ...NJOO UKU...Wanaume wanaoana ...Wanawake wanatafunana ...NENDA KULE...Mapadre/Masheikh...
3 Reactions
54 Replies
9K Views
Habari zenu wakuu, Naomba nianze moja kwa moja kueleza jambo hili. Mnamo mwaka 2006 nilikuwa katika mahusiano ya kimapenzi na binti anaitwa NASRA (si jina halisi) wakati huo alikuwa anafanya...
0 Reactions
4 Replies
953 Views
Habarini ndugu zangu, kaka na dada zangu. Kiuhalisia leo naandika huku nikiwa nimejawa huzuni, majonzi na sononeko kubwa sana moyoni. Nikitizama umri wangu kwa kweli umeenda na mpaka sasa...
12 Reactions
83 Replies
9K Views
Wakuu wale wa kale kidogo hii kitu naamini mnaikumbuka. Zaman mtu akiwa na msichana gest au nyumba zetu za kupanga lazima watu mlioko jirani maskio yenu yawe mubashaara kusikilizia vilio...
10 Reactions
107 Replies
12K Views
Kwa miaka 10 nyuma nadhania mambo mengi yalikuwezpo ila hayakuwa up to date kama sasa. Siku ambayo mimi sitoisahau wakati naolewa yaani, Mc alikuja amechelewa alafu viatu matope matupu alafu...
11 Reactions
34 Replies
4K Views
Upendo ni nini!? Upendo ni kujua thamani ya utu wa mtu.. Wewe kwako upendo ni nini!? Je ulishawahi kupenda au kupendwa na ukajisikiaje katika hisia zako?
2 Reactions
58 Replies
20K Views
''Habari yako kaka'' ni sauti ilitoka kwa upole huku moyoni nikadhani ni mrembo anataka kuniangukia. Mara nikageuka kutahamaki ni dume lililojaa vishimo vya sharubu likitoa tabasamu kama binti...
7 Reactions
131 Replies
24K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…