Ni karibu na/au ndo SODOMA na GOMORA yenyewe?: Kizazi hiki kimeshachoka

Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,145
5,553
...TAZAMA UKU...Mume anamla mke makalio

...TAZAMA KULE...Baba anamtafuna bintie wa kumzaa

...NJOO UKU...Wanaume wanaoana ...Wanawake wanatafunana

...NENDA KULE...Mapadre/Masheikh wanalawiti watoto na vijana

...SIMAMA HAPA...Ufisadi kila kona ya nchi... Maskini wananyanyaswa na matajiri wachache

... SHANGAA HILI... Hakuna tena maadili kuanzia kuongea mpaka kuvaa... Hakuna tofauti ya mwanaume na mwanamke

...HATA HILI PIA LIPO... Maradhi yenye majina na yasiyokuwa na majina yamejaa... Vifo ni kila kukicha

... CHA AJABU... Binadamu hatushtuki... Ndio kwanza tunakaza buti kuiendea laana

...HUKUMU YETU NI IPI... Gharika au moto?
... TUNASTAHILI ZOTE...
 
Mwisho umefika,

Nchi kama marekana hata kama mmeoana mnapima kwanza kabla ya kufanya mapenzi bila kinga, ama sivyo ni condom hadi mwisho. Ndoa zinapo fungwa na masharti ya kuachana yanawekwa bayana. to much.
 
Mr. Rocky, chunguza haya maisha pitia maandiko then hitimisha! Jibu litakuwa kiama

Ila ukichunguza maandiko yanasema haya hayana budi kutokea ila ule mwisho bado
So mkuu haya ni mapito tuu na bado yapo mengine ila mwisho wa haya unaweza usitukute sisi wakaukuta hata wajukuu au vitukuu vyetu huko
 
Nilipoona heading, nikadhani kuna maphotos ya kufa mtu kumbe maneno tu?

Mkuu heri ya mwaka mpya aise
We unataka photo za hayo mambo upeleke wapi
Kwani kila siku si unayaona huko mtaani na kwenye vyombo vya habari
 
kwani mimi nimeviandika kwa uleo? Au kwa sababu nimeandika leo? Mbona kama umekereka, wewe unaona yako sawa kwahyo tuendelee nayo?

usinijibu swali na swali naomba jibu ... Nimekuuliza hivyo vitu vimeanza leo??
 
Human ni kiumbe ambacho Mungu wakati anamuumba alimpa sifa nyingi sana,lakini ndo amekua kiumbe asiefaa kati ya viumbe vyote!Shame on us!
 
usinijibu swali na swali naomba jibu ... Nimekuuliza hivyo vitu vimeanza leo??
kama kwenye maswali yangu hujaona majibu yanayokustahiki hata nikujibu kwa lugha ya kwenu utaambulia patupu tu!
 
Mwenye masikio na ayasikie maneno haya yenye hekima...ukiyaangalia yenyewe kama yalvyo unaweza ukayaelewa ila ukimwangalia aliyeyaleta basi kamwe hutayaelewa maneno haya maana kwa asilia maneno ya hivi ueleweka kwa walio wachache sana...ukipenda waite wateule.
 
Nashukuru mkuu, si vibaya kukumbushana siku moja moja.
Mkuu na msingi wa ibada ulitakiwa kuwa wa kukumbushana anayotakiwa kuyatenda binadamu na hasiyotakiwa kuyatenda! Lengo likiwa kuiweka dunia kuwa mahali salama
 
kama kwenye maswali yangu hujaona majibu yanayokustahiki hata nikujibu kwa lugha ya kwenu utaambulia patupu tu!

Hivi tangu lini majibu yote yana alama ya kuuliza.... majibu gani hayo unayoyaongelea? nilichoona ni
kama sentensi tatu zenye alama ya kuuliza na ka sentensi kadogo hapo kati UNANIAMBIA nimekereka..
sijaona jibu...............
 
Mwenye masikio na ayasikie maneno haya yenye hekima...ukiyaangalia yenyewe kama yalvyo unaweza ukayaelewa ila ukimwangalia aliyeyaleta basi kamwe hutayaelewa maneno haya maana kwa asilia maneno ya hivi ueleweka kwa walio wachache sana...ukipenda waite wateule.

Nakubaliana na wewe Mkuu
Ila mwenye macho alishaambiwa aone na atafakari
Maana siku hizo wataambiwa hawatasikia
Watahubiriwa ila hawataelewa
Wataona ila hawatajua kinachoendelea
Mpaka hapo ile siku itakapokaribia
 
Hivi tangu lini majibu yote yana alama ya kuuliza.... majibu gani hayo unayoyaongelea? nilichoona ni
kama sentensi tatu zenye alama ya kuuliza na ka sentensi kadogo hapo kati UNANIAMBIA nimekereka..
sijaona jibu...............
mimi na wewe tumemalizana,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom