Wakati mwingine huwa siyafurahii maisha ninayoishi

Chokochoko

JF-Expert Member
Oct 15, 2011
438
183
Moyo wangu unaniuma sana huwa najiuliza maswali mengi na sipati jibu la kunifariji. Hivi kweli Mungu ndivyo alivyotaka iwe hivi ama?

Nimetokea kwenye familia ya kawaida sana yeye single mother, sikuwahi kuenjoy mapenzi ya baba japo niliyatamani sana, sijawahi kupata mapenzi ya ndugu zangu dada wala kaka japo walikuwepo.

Nimelelewa kibabe na kiuonevuonevu sometimes nikiona watu wanaishi kwenye familia zao na wanaupendo nasikia wivu halafu naona wana bahati sana kwamba mtu unae dada au mdogo ama kaka wakukuthamini kwenye maisha raha sana basi huwa kwangu nikiwaona watu hivyo naona ni upendeleo tofauti na mimi ndugu kwangu ni maadui wasiotaka kusikia jema lolote kutoka kwangu anyway nimekaa mbali kujiepusha na mabaya.

Anyway linapokuja swala la maisha yangu binafsi nilipaswa niwe na familia kama wengine mume na watoto nalo hilo pia mtihani, ukweli maisha ya usingle ni maisha magumu sana siyapendi kulea mtoto bila baba yake ni maumivu kwenye maisha kuna wakati naona kabisa haya siyo maisha ni maigizo ni maisha mabovu kutokuolewa ni shida kwa mwanamke wakati mwingine unakosa kibali mbele za watu kwenye jamii, kuna wakati namuuliza Mungu maswali mengi juu ya maisha yangu sipati jibu.

Nilivyopokea ndivyo nilivyo watumia
 
Dada, jambo la muhimu kuliko yote ni KUACHA KABOSA kufikiria mambo yaliyopita. Ukiendelea kuyawaza wakati huwezi kuyabadilisha yaliyopita unajitesa tu. Kuanzia sasa, anza kumwomba Mungu akupe moyo wa furaha. Tafuta shughuli za kukufanya ujichanganye na wenzako wa kiume na wa kike. Jifunze kuwa una furaha wakati wote. Ukifanya hivyo wanaume wanaotaka kukuoa watakuwa wanamiminika kwako. Na wakija wachangamkie tu. Hata kama una watoto wawili na hujaolewa bado, ni rahisi tu kukutana na mwanaume atakayekupenda kwa dhati na akuoe
Jiamini tu.
 
kaka wewe ni mtu pekee wa kubadili maisha yako na kuyafanya yawe ya raha.angalia yanayokuzibu ndo challenge za maisha then yafanyie kazi utafanikiwa.Usiige maisha ya watu kuwa na yako. mwenzako akikusimulia yake utajiona wewe unayo mazuri zaidi kabisa
 
Angalia mabaya yote uliyopitia ili wanao wasiyapitie pia, jiamini katik aina ya maisha unayopitia muombe Mungu,weka nia, jishughulishe, kumbuka hao watot wanakutegemea wew na waliozaa mtaa wapo wengi sana na wanapit unapopita wew...Kaza buti
 
Moyo wangu unaniuma sana huwa najiuliza maswali mengi na sipati jibu la kunifariji. Hivi kweli Mungu ndivyo alivyotaka iwe hivi ama?

Nimetokea kwenye familia ya kawaida sana yeye single mother, sikuwahi kuenjoy mapenzi ya baba japo niliyatamani sana, sijawahi kupata mapenzi ya ndugu zangu dada wala kaka japo walikuwepo.

Nimelelewa kibabe na kiuonevuonevu sometimes nikiona watu wanaishi kwenye familia zao na wanaupendo nasikia wivu halafu naona wana bahati sana kwamba mtu unae dada au mdogo ama kaka wakukuthamini kwenye maisha raha sana basi huwa kwangu nikiwaona watu hivyo naona ni upendeleo tofauti na mimi ndugu kwangu ni maadui wasiotaka kusikia jema lolote kutoka kwangu anyway nimekaa mbali kujiepusha na mabaya.

Anyway linapokuja swala la maisha yangu binafsi nilipaswa niwe na familia kama wengine mume na watoto nalo hilo pia mtihani, ukweli maisha ya usingle ni maisha magumu sana siyapendi kulea mtoto bila baba yake ni maumivu kwenye maisha kuna wakati naona kabisa haya siyo maisha ni maigizo ni maisha mabovu kutokuolewa ni shida kwa mwanamke wakati mwingine unakosa kibali mbele za watu kwenye jamii, kuna wakati namuuliza Mungu maswali mengi juu ya maisha yangu sipati jibu.

Nilivyopokea ndivyo nilivyo watumia
Single Mother ni sehemu ya Laana watu hawajui tu... Na hakuna anayejiona ana raha zote nikujifariji tu ila ukweli ni huo.. Ni sawa na Yule anayekuwa na Mahusiano ya Kingono na Mume wa Mtu au Mke wa Mtu Yaani hana uhuru wa kufurahia akifanyacho Muda wote nikujificha asionekani.

I wish kama ingefika mahala wakajua maumivu halisi na gharama zake
 
Kuwa na furaha ni choice, haitegemei mtu mwingine ailete kwako. Unawajibika kujipa furaha mwenyewe. Nakushauri usiigemeze furaha yako kwa mtu yeyeyote, utaendelea kuwa disappointed tu. Usijifnanishe na mtu yeyote isipokuwa weka bidii kufika unapotaka. Usiishi masha ya mtu mwingine kamwe. Wewe ni wewe na yule ni yule.
Hiyo ndoa unayoililia huna pia garantee ndo itakuwa your ultimate happiness.
Changamaoto za maisha hazeshi, jifunze tu kupitia kwazo.

ALL THE BEST AND BE HAPPY:);)
 
Anyway linapokuja swala la maisha yangu binafsi nilipaswa niwe na familia kama wengine mume na watoto nalo hilo pia mtihani, ukweli maisha ya usingle ni maisha magumu sana siyapendi ......
Kwani wadau hawajitokezi ???????
 
Kuwa na furaha ni choice, haitegemei mtu mwingine ailete kwako. Unawajibika kujipa furaha mwenyewe. Nakushauri usiigemeze furaha yako kwa mtu yeyeyote, utaendelea kuwa disappointed tu. Usijifnanishe na mtu yeyote isipokuwa weka bidii kufika unapotaka. Usiishi masha ya mtu mwingine kamwe. Wewe ni wewe na yule ni yule.
Hiyo ndoa unayoililia huna pia garantee ndo itakuwa your ultimate happiness.
Changamaoto za maisha hazeshi, jifunze tu kupitia kwazo.

ALL THE BEST AND BE HAPPY:);)
The best comment.
 
kaka wewe ni mtu pekee wa kubadili maisha yako na kuyafanya yawe ya raha.angalia yanayokuzibu ndo challenge za maisha then yafanyie kazi utafanikiwa.Usiige maisha ya watu kuwa na yako. mwenzako akikusimulia yake utajiona wewe unayo mazuri zaidi kabisa
Kwani huyu ni ME?
 
Sema na Mungu wako akupe Furaha,kisha uwe na subira na imani ukiamini katika uliyoyaomba kwa Mola wako! Tatizo kubwa la sisi binaadamu ni kukosa subira na imani huwa tunataka tupate vyote kwa pupa matokeo yake tunapochelewa kupata au ikatokea tukapata tofauti na tulivyoomba basi hujivika msiba na kuanza kukufuru
 
Dada, jambo la muhimu kuliko yote ni KUACHA KABOSA kufikiria mambo yaliyopita. Ukiendelea kuyawaza wakati huwezi kuyabadilisha yaliyopita unajitesa tu. Kuanzia sasa, anza kumwomba Mungu akupe moyo wa furaha. Tafuta shughuli za kukufanya ujichanganye na wenzako wa kiume na wa kike. Jifunze kuwa una furaha wakati wote. Ukifanya hivyo wanaume wanaotaka kukuoa watakuwa wanamiminika kwako. Na wakija wachangamkie tu. Hata kama una watoto wawili na hujaolewa bado, ni rahisi tu kukutana na mwanaume atakayekupenda kwa dhati na akuoe
Jiamini tu.
kaka wewe ni mtu pekee wa kubadili maisha yako na kuyafanya yawe ya raha.angalia yanayokuzibu ndo challenge za maisha then yafanyie kazi utafanikiwa.Usiige maisha ya watu kuwa na yako. mwenzako akikusimulia yake utajiona wewe unayo mazuri zaidi kabisa
 
You are not alone, tunatofautiana tu. Wengine mpaka tunadhurumiwa na ndugu zetu wa tumbo moja.
Sometimes life is not fair
 
Back
Top Bottom