Machuchu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2017
- 1,260
- 962
Kwa miaka 10 nyuma nadhania mambo mengi yalikuwezpo ila hayakuwa up to date kama sasa. Siku ambayo mimi sitoisahau wakati naolewa yaani, Mc alikuja amechelewa alafu viatu matope matupu alafu kalewa, ulikua ukipigwa mziki anacheza mwanzo mwisho hadi unaisha bila kumstopisha.
DJ alitusimamisha mda mrefu hadi nilibadili pozi nikatamani hata kuvua viatu, ilibidi apokonywe Maiki ashereheshe mtu mwingine, baadae mziki ukabadilika ukawa kama nyenze bahati nzuri kulikuwa na matarumbeta yakatuburudisha kiasi. Sasa kwenye chakula kuna ndugu wa mumewangu akawa kaganda kwenye foleni kagomea kwenye nyama alitaka awekewe [HASHTAG]#nyama[/HASHTAG] tuu yaani sisahau hili tukio.