Nimegusana kimwili na shoga

Nimegusana kimwili na shoga

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,908
''Habari yako kaka'' ni sauti ilitoka kwa upole huku moyoni nikadhani ni mrembo anataka kuniangukia. Mara nikageuka kutahamaki ni dume lililojaa vishimo vya sharubu likitoa tabasamu kama binti. Yalai tobaa nini hiki nakutana nacho asubuhi hii ndani ya daladala? Nimejikuta najilaumu kwa maana leo wife alitaka niondoke na private car nikamkatalia maana naskia leo wese halipo lakutosha kwenye visima. Basi nilimjibu mimi niko powa dada, aisee alitoa bonge la tabasamu huku akionesha kufurahi jinsi nilivyomuita dada. Naomba namba yako ya simu aliniomba ahaa ilibidi nishuke fasta kabla hajaniganda.

Afrika tumeingiliwa
 
Mkuu ni kweli dunia imeharibika. Bahati mbaya hauna jinsi lazima ukubali kuwa hao watu wapo.

Around mtaani kwetu kuna shoga fulani limekomaa. Ni mtu mzima anafanya shughuli za kupamba. Alishajitangaza na watu wanajua. Tatizo ni kwamba ukimkimbia au kumpotezea ndio anaboa zaidi. Na ukiamua kumpotezea au kummind watu wanajua una mahusiano nae. Dah! Challenge kweli! So chakufanya kule mtaani tunakuwa nae kwa muda kupata moja baridi, then tunamuacha.

Kwenye misiba, harusi yupo. Anajua kupamba, kupika! Ni mtu mzima >40's. Dunia imeharibika!!
 
Huwa najisikia vibaya

Kuna mmoja nilikuwa namyanyapaa sana mahali fulani
Alikuwa anataka kunizoea afu mie sitaki hata tone, akinisalimia naitikia kama simuoni, lakini hakuwahi kuchoka.Baadae tukaja kukutana mazingira tofauti, alifurahi sana kuniona ila hakuwa na uhakika kama attitude yangu.

Baadae nilikaa nikajiuliza, hivi kwa nini nakuwa hivyo? Kuanzia siku hiyo nilianza kujitahidi japo salamu tu
Hatimaye naweza ongea naye, hata tukacheka, japo hatuko marafiki kihivyo

Na he is a good guy kwa kweli

Nadhani ni phobia, najitahidi kuipunguza japo ni kazi sana

Pole sana. Ila jua mashoga wako kila sehemu na kuna uwezekano unakutana na kugusana nao bila hata kujua! Jitahidi tu kutokuwa homophobe.
 
yani mi hata nikikutana nao huwa nageukia upande mwingine nisiwaangalie.
Wananipa kichefchef.
Ingekuwa uwezo wangu ningewapiga risasi wote.
Nashangaa serekali haichukui hatua kukomesha hivi vitendo.
 
Huwa najisikia vibaya

Kuna mmoja nilikuwa namyanyapaa sana mahali fulani
Alikuwa anataka kunizoea afu mie sitaki hata tone, akinisalimia naitikia kama simuoni, lakini hakuwahi kuchoka.Baadae tukaja kukutana mazingira tofauti, alifurahi sana kuniona ila hakuwa na uhakika kama attitude yangu.

Baadae nilikaa nikajiuliza, hivi kwa nini nakuwa hivyo? Kuanzia siku hiyo nilianza kujitahidi japo salamu tu
Hatimaye naweza ongea naye, hata tukacheka, japo hatuko marafiki kihivyo

Na he is a good guy kwa kweli

Nadhani ni phobia, najitahidi kuipunguza japo ni kazi sana

hatupaswi kuwapa nafasi hawa watu, jamii inatakiwa iwatenge ili kila mmoja aelewe hivyo vitendo ni viovu na havifai.
Unapo mchukulia kawaida hata mtoto wako ataona hicho ni kitu cha kawaida na anaweza kutamani kuwa hivyo.
 
Huo mguso lazima tu atakua alikupiga kakibao ka uchokozi begani huku akitabasamu....
 
Unajua alianzaje?? Aliamua mwenyewe? au ni mtu mzima mmoja alimharibu? Labda hata tena anayeaminika na kuheshimika kwenye jamii, mwalimu? mjomba? Mchungaji?

Ukiwa na watoto wa kiume, ukaona ilivyo kazi kuwavusha, ndipo unapoweza kuwapa nafasi hawa watu.

hatupaswi kuwapa nafasi hawa watu, jamii inatakiwa iwatenge ili kila mmoja aelewe hivyo vitendo ni viovu na havifai.
Unapo mchukulia kawaida hata mtoto wako ataona hicho ni kitu cha kawaida na anaweza kutamani kuwa hivyo.
 
Nitonye kaoge baharini (kidin')
Mimi kwa mara ya kwanza niliwaona wakiwa wawili maeneo ya Uwanja wa Taifa....Halafu wakawa wanavuka
Barabara kwa madaha!!.............Nilishangaa mpaka watu wakanishangaa.............Kusema ukweli sifai kukabidhiwa Bunduki
 
Pole sana Bandugu;
hayo ndio maisha ya Bongo kwa sasa;
Nashindwa kuelewa hivi hii husababishwa na nini;
Ikiwa idadi ya wanawake Bongo ni kubwa kuliko wanaume.

Msaada wenu unahitajika, Bazazi ametatizika.

Bazazi!
 
Pole sana,ila sidhan kama kuwatenga ni suluhisho.jambo la msingi ni jamii kukubal hili tatizo lipo so tushirikiane kulipunguza kama si kuliondoa kabisa.kama jamii tunatakiwa kutibu mzizi wa tatizo kwa maana ya malezi,wengi wa hao mashoga wanatengenezwa utotoni.pata picha mwanao au nduguyo kawa hivyo, je utamtenga?utampiga risasi?
 
Unajua alianzaje?? Aliamua mwenyewe? au ni mtu mzima mmoja alimharibu? Labda hata tena anayeaminika na kuheshimika kwenye jamii, mwalimu? mjomba? Mchungaji?

Ukiwa na watoto wa kiume, ukaona ilivyo kazi kuwavusha, ndipo unapoweza kuwapa nafasi hawa watu.

hatupaswi kuwapa nafasi hawa watu, jamii inatakiwa iwatenge ili kila mmoja aelewe hivyo vitendo ni viovu na havifai.
Unapo mchukulia kawaida hata mtoto wako ataona hicho ni kitu cha kawaida na anaweza kutamani kuwa hivyo.
 
''Habari yako kaka'' ni sauti ilitoka kwa upole huku moyoni nikadhani ni mrembo anataka kuniangukia. Mara nikageuka kutahamaki ni dume lililojaa vishimo vya sharubu likitoa tabasamu kama binti. Yalai tobaa nini hiki nakutana nacho asubuhi hii ndani ya daladala? Nimejikuta najilaumu kwa maana leo wife alitaka niondoke na private car nikamkatalia maana naskia leo wese halipo lakutosha kwenye visima. Basi nilimjibu mimi niko powa dada, aisee alitoa bonge la tabasamu huku akionesha kufurahi jinsi nilivyomuita dada. Naomba namba yako ya simu aliniomba ahaa ilibidi nishuke fasta kabla hajaniganda.

Afrika tumeingiliwa

Hiyo ndiyo public transportation na wala sio private.
 
hawa jamaa kenya wamejaa kibao...nimekutana nao nairobi kama mara nne hivi.....kwenye mitandao ndo ucpime nilikuwa nawapa contact ka washikaji hivi later wanaleta mambo zao...kifupi wapo sana kwenye jamii inayotuzunguka mkuu..mchukulie poa tu but asikuzoee..
 
Huwa najisikia vibaya

Kuna mmoja nilikuwa namyanyapaa sana mahali fulani
Alikuwa anataka kunizoea afu mie sitaki hata tone, akinisalimia naitikia kama simuoni, lakini hakuwahi kuchoka.Baadae tukaja kukutana mazingira tofauti, alifurahi sana kuniona ila hakuwa na uhakika kama attitude yangu.

Baadae nilikaa nikajiuliza, hivi kwa nini nakuwa hivyo? Kuanzia siku hiyo nilianza kujitahidi japo salamu tu
Hatimaye naweza ongea naye, hata tukacheka, japo hatuko marafiki kihivyo

Na he is a good guy kwa kweli

Nadhani ni phobia, najitahidi kuipunguza japo ni kazi sana

Ungeendelea na msimamo wako wa kwanza ingekuwa poa zaidi, hawa watu hawafai kabisa ndio maana Mungu aliangamiza jamii yao nzima-hawa waliopo sasa sijui walijificha wapi?!!
 
Ni binadamu kama wengine, kukugusa tu haina cha zaidi kwani kama ni dhambi uwa tunagusana na majambazi, wabakaji, wauaji, magaidi, makahaba the list is endless...jambo la kupinga ni hayo matendo naona taratibu inageuka kawaida kwenye jamii yetu na once wakizoeleka wataanza kujiona ni sehemu ya jamii, watatengeneza community yao na kudemand haki za msingi za kiraia. Wacha niseme kuwa Serikali yetu isiishie kusema tu ushoga haukubaliki na ni makosa mbele ya sheria, hawa vijana wanahitaji rehabilitation kama wale drug addicts
 
Back
Top Bottom