virtuoso
Senior Member
- May 15, 2017
- 104
- 165
Ahsanteni sana kwa wanawake wote kwa kuwa warembo, najua ni jitihada kubwa mnafanya kuwa warembo hivyo, mara nyingi sisi wanaume tumekuwa wabinafsi wa shukrani na leo kwa niaba ya wanaume wote nawaambia asanteni sana kwa kuwa warembo, urembo wenu ni furaha machoni na amani moyoni basi kwa wale wenzangu ambao hatujawahi kumsifia mpenzi au mwanamke yeyote kwa kuwa mrembo huu ni wakati.