Mahusiano mengi sana na ndoa nyingi sana zinaingia matatani kwa kosa la aidha kutoka nje ya ndoa au kukosa uaminifu. Lakini je kabla ya kuanza kuhisi mwenzio kutoka nje huwa unafikiri kuhusu "sex dysfunction"?. Je ni kweli kuwa tatizo hili limekuwa na kuongezeka sana kwa jinsia zote? Tujadili