Heshima kwenu wakubwa
Ni Kijana mmoja mtanashati,, mwenye sifa zote za kuwa hubby,,nimekaa nae kwa mahusiano takbani mwaka sasa.japo twaishi miji tofauti
Tumepitia migogoro Mingi sana
Tushaachana...
Salaam wana jukwaa.
Mimi nakuja jukwaa hili kutafuta mtu ambaye tunaweza anzisha mahusiano serious yatakayopelekea tupate mtoto/watoto pamoja and I promise to be a responsible father. Lengo kuu...
Kutokana Na masaibu ya maisha nilichelewa kuoa mke mwema
Ila nimebahatika kupata zawadi ya mtoto wa kike mwenye miaka 2 Na nusu
Mama yake tumeshindana tabia kutokana Na mienendo yake isiyo mizuri...
Habari wakuu
Kwa mujibu wa pita pita yangu ya hapa na pale, nimejiridhisha pasina shaka yoyote kuwa zaidi ya robo tatu ya wanaume walioko kwenye ndoa wamewachoka wake zao.
Hivyo basi, wanaume...
Hope mpo poa
Jamani kwa mfano unakuwa na boyfriend na mmepanga kumeet vizuri tu ila baadae ikatokea kitu ukamwambia naomba unisaidie hela kwa maana kuna mtu anahitaji na mimi nipo mbali na sehemu...
Habari za leo wana forum,
Mimi ni kijana at late 20's toka nimezaliwa mwanzoni mwa miaka ya 90 nilikuwa nafahamu kuwa baba na mama yangu ndio hawa waliokua wakinilea lakini mwaka 2015 wakati...
Nina jamaa yangu ana mchumba wake anatarajia kufunga nae ndoa tatizo linakuja kwenye simu anacholalamika yeye simu yake haina password iko free na ana iacha tu lakini huyu mpenzi wake simu yake...
Habari za wakati huu bosses!
Ngoja niende straight to the point.
Mimi nina ugonjwa wa kuanzisha uhusiano na msichana lakini baada ya Muda namchoka. Kama sasa hivi nina mpenzi ambae kiukweli...
Aise kuna tabia imeibuka siku hizi kutoka kwa hawa viumbe wa upande wa pili.
Nayo ni pale unapokuwa unahitaji kuanzisha naye mahusiano, utasikia akiuliza" unafanya kazi gani? mara wapi.. Mara ohh...
Ndugu zangu nawasalimu kwa upendo mkubwa na ni imani yangu kuwa mmekuwa na siku njema kabsa,juzi nilikuja katika jukwaa hili nikaeleza hitaji langu la kupata mke wa kuoa na niwashukuru wale ambao...
Mimi ni kijana umri miaka 27, natafuta marafiki wabunifu ambao wako tayar kushirikiana n mimi katika kubadilishana mawaz na uzoefu katika maswala ya kijasiliamal .
sending using jamiiforum makinikia
Nipo nyumbani kwetu Kimara week ya 3 tangu nimalize chuo huko iringa, kuna mama mdogo wangu katoka Singida shelui, kila siku asubuhi wakiwa anaandaa chakula akiwa amekaa kwenye kiti anajiachia...
Hivi mnadhani ni kwa nini katika familia nyingi kuna baadhi ya watoto wanabeba tabia za ajabu mpaka hata wazazi wenyewe wanashangaa? Watoto hawa si wa nje ya ndoa kwani hubeba sura halisi za...
Habari za mda huu wana jukwaa pendwa la MMU...
Moja kwa moja ngoja niende kwenye mada
KWANINI WANANDOA wanachepuka...
Kuchepuka huku kwanza kabisa ni kule wengi wao unakuta wanarudiana na x wake...
Haya jamani kama kichwa cha habari kinachosema,
Kule unyagoni tulifundishwa mume akirudi asubuhi muandalie staftahi wala usimuulize anatoka wapi. Kungwi akidai shughuli za wanaume ni nyingi...
It's a new day MMU family.
Kwa nini wanaume tunanifariji kuwa wadada pekee ndio wanakuwa na stress za kuolewa? Je, ni kweli kwamba vijana wa kiume hawakumbwi na wimbi la stress hasa wanapofikia...
"Nafikiri Furaha ndiyo Humfanya Mtu kuwa Mzuri, Watu wenye Furaha ni Wazuri. Maisha ni Leo Kesho ni Majaliwa. Unatakiwa Kufanya Maamuzi ya Kukufanya uwe Na Furaha sasa Hivi, unatakuwa Uanze Upya...