Hakuna Kugeuziana Kibao cha Pili Tena! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakuna Kugeuziana Kibao cha Pili Tena!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by TheMason, Jul 20, 2017.

 1. TheMason

  TheMason JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2017
  Joined: Feb 22, 2017
  Messages: 2,247
  Likes Received: 1,979
  Trophy Points: 280
  SEHEMU YA KWANZA

  ndio niliwahi kuwa rafiki yake mzuri sana, rafiki mwenye mapenzi ya dhati, rafiki mwenye mtizamo chanya, rafiki asie na wivu lakini mambo yakaenda ndivyo sivyo! Kwanini?? iko hivi

  aliwahi kuwa rafiki yangu lakini akamchukua mwanamke wangu niliekuwa nampenda kwa kuwa kwao they are Financialy Good!, aah sikujali nikatumia usemi kwamba usiharibu urafiki kisa wasichana....aah mara nikimwambia kwamba nataka nim aproach flani awe wangu aah mchizi ananioverttake then hunichafua kwa mwanamke!, aah sikujali mimi life likasonga! maana alikuwa rafiki yangu, nisingependa kumpoteza kisa mwanamke!

  aah lakini yeye hakujali aliendelea vivo hivo na ikajirudia kwa mara zingine mbili akaanza ku feel he is more superior than me nikaonaa huu upumbavu hakuna kugeuziana kofi la pili tena na anajua mimi ni mr plan nikiamuaga target sishindwi labda mpaka niingiwe na huruma.!

  ndio hivyo kuna dem alikuwa na target nae akamtongoza akakubali mwanamke ila kabla hajamgegeda mimi nilimsoundishaa mtotoo wa kike na kibaya zaidi ninaa nguvu kubwa ya ushawishi by nature ndani ya siku mbili mtoto wa kike akakubali kuwa wangu ilhali ata mimi najua kwamba yupo na jamaa wala sikujali maana nimechoka kugeuza kibao cha pili!

  Demu hakujua kama mimi najua yupo na mchizi wala mchizi hakujua kama mimi nipo na demu, wakat anapanga yake na demu mimi napanga yangu....wala nilikuwa simpendi mtoto wa kike ila basi tu kuonesha kwambaa mimi pia ni kiwembe ila nina huruma na utu kwa sasa nikaamua kuweka kuweka hivo vitu pembeni kama ni mbwai wacha iwe mbwai!

  mara mtotoo akanogewa na story zangu 24hrs anataka kuchat na kuongea na mm nami nilijifanya nampenda mtotoo akadata, sikucheleweshaa nikaombaa mzigo demu akakataa ile nataka sitaki aah kama wanaume tulivyo nikatumia bpdy language mtoto wa kikee hoii!

  Aah mimi sikujali nikaenda dukani nikatoa 2000 sikuchelewesha kupewa roughrider aah nikarud gheto nakuta mtotoo kalegea kajifunika na shuka usoni, aah sikuchelewesha nikamwekaa fresh huku rohoo yangu ikipata amani niliyokosaa kwa mudaa mrefu aah nikampiga na picha ikamfikia mchizi indirectly.. aah atafanya nini na ishatokea demu wake katanguliwa kugongewaa!

  SEHEMU YA PILI

  kuna mtotoo mwingine mzuri sana yaani umbo namba 8 iliyotulia binafsi ndio mwanamke pekee mzuri wa umbo niliewahi kumuona live...mchizii nae si akamtakaa, mimi nikaja kujua kwamba anamtaka na haezi sema tena mbele yangu kama anamtaka mwanamke kwa sababu tiyari ana hofu japo yeyey kwao ni wa kishua na wana title kidogo kuliko kwetu kitu ambacho inamrahisia mwanamke anaemjua kumkubali haraka!

  Aaah mwanaume kwani najali nishakariri karirii usemi wa get rich or die trying, nikatumia target nyepesi tu ya kupata namba ya simu ya mtoto wa kike... aah mara mtotoo nae nyodo nyingi maana nae ni wa kishuaa balaa yaani hataree aah mimi sikujali maana nina target yangu, sikuenda kichwa kichwa, nilikuwa najua nini nataka!

  siku ya kwanza akazinguaa zinguaa ya pili ikawa afadhali aah mara ya tatu mtotoo kanogewa na story anataka niwe namhadisia aah mimi sikuwa na ajizi nikampa story za kutosha na sikuchelewa kumsifia alivyo mzuri aah mtotoo akadata na sifa zangub kabla ata sijamtongoza akaanza kunitafta mwenyewe japo mwanzo alikuwa analeta nyodo!

  kwani nachelewa?? nikamsoundishaa mtotoo wa kikee yaani Hakuchelewa nimemsoundishaa asubuhi jioni kakubali...tukakaa kama miezi miwili tukiwa wapenzi (ieleweke hapa kwamba nia yangu ilikuwa kugegeda tu basi ili niwe nimempiga bao jamaa maana ilikuwa target yake kubwa)

  Nilitumia ushawishi kama wa mino raiola katika usajili wa wanasoka yaani bao walilopigwa chelsea na Man u dhidhi ya kuwania saini ya Lukaku ndo ilikuwa kama nilivyofanyaa, aah basi sikuwa na ajizi nikaomba sex mtoto wa kike kishingo upande alikubali japo alidai kwao geti kali ila mtoto wa kiume sikujali nikamshawishi akakubali!

  basi ikafika siku ya siku demu akaja gheto hakika sikuamini nilichokuwa nakiona mbele yangu, hakika roho yangu ilitetemeka, mtoto wa kike alikuwa ndani ya vazi lililomshika vizuri na kuonesha maungo yake vyema kabisa, imagine demu ana weupe ambao hujakoleaa saana afu ana shape sio ya hii dunia aah sikuchelewa kuchukuaa mpiraa!

  kurudi nikafunga mlango kwa uhakika wa hali ya juu nikaanza kuchezea mtotoo wa kikee yaani mara anishike nywele kila mahali hakika sikuamini kuvuaa nguo ndio kabisaa...hakika ndio mwanamke mzuri katika hii dunia niliewahi kuvunja nae amri ya sita, mpaka sasa anataka mimi ndo niwe mumewee!

  Katika kufanikiwa katika hili suala na kumzidi nia yangu ilikuwa apate ujumbe tu hamna namna na simwambiiagi mimi ni picha zinamwambiaa,...najua amechukia sana atafanya nini na akati aliyataka mwenyewe??

  Furaha kuu kwangu ni kwamba nimeonesha uanaume kwamba na mimi naeza kufanya kitu na ni bora mtu anichukie kuliko kunidharau maana ukidharauliwaa hauheshimiki na angalau ukichukiwa unaeza heshimika na sasa nina tumaini ananichukia na si kunidharau kama alivyokuwa ananizidi hapo mwanzo!

  sema sasa mtotoo wa kikee naona kweli kanipenda na ile nia yangu ya kumgonga na kutembea imefifia Namshukuru Mungu kaniletea uyu mtotoo wa kikee maana kanifanyaa nijifeel napendwaa kweli japo tuna family status tofauti na sasa mimi nampenda kweli! na Mungu akijalia Nitamuoa!


  Ushauri:1- usitangaze mipango yako kabla haijatimia, tangaza ikitimia ulivyofanya endapo
  hauna mpango wa kutumia the same plan!
  2-usiruhusu nafasi ya mtu kukudharau na katika dunia ya sasa usifanye ujinga wa kugeuziana kofi la pili!
  3-Hakuna rafiki ya kweli na usiruhusu katika urafiki mtu akakujua nje ndani, rafiki yako
  wa kweli ni wewe mwenyewe! Jipe Self Respect!

  Then am sorry kwa uzi Mrefu i hope mtajifunza kitu!
   
 2. Ludanha

  Ludanha JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2017
  Joined: Jan 24, 2014
  Messages: 545
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 180
  ...somo zuri
   
 3. samtz1

  samtz1 JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2017
  Joined: Nov 8, 2015
  Messages: 1,144
  Likes Received: 1,189
  Trophy Points: 280


  Sent from my Dell Laptop using Jamii Jorums mobile app
   
 4. TheMason

  TheMason JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2017
  Joined: Feb 22, 2017
  Messages: 2,247
  Likes Received: 1,979
  Trophy Points: 280
  ahahaa sawaa boss
   
 5. TheMason

  TheMason JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2017
  Joined: Feb 22, 2017
  Messages: 2,247
  Likes Received: 1,979
  Trophy Points: 280
  ndioo mkuu
   
 6. brenda18

  brenda18 JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2017
  Joined: Sep 17, 2013
  Messages: 5,063
  Likes Received: 2,821
  Trophy Points: 280
  duh kazi ipo
   
 7. TheMason

  TheMason JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2017
  Joined: Feb 22, 2017
  Messages: 2,247
  Likes Received: 1,979
  Trophy Points: 280
  ipii brendaa
   
 8. chuma cha reli

  chuma cha reli JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2017
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 1,857
  Likes Received: 620
  Trophy Points: 280
  Hawa ndio wasomi wetu...

  karma is a bitch
   
 9. Mirlz B Matthew

  Mirlz B Matthew JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2017
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 609
  Likes Received: 639
  Trophy Points: 180
  ujumbe mzuri sana.....
   
 10. Jozee mkunaji

  Jozee mkunaji JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2017
  Joined: Jun 11, 2017
  Messages: 424
  Likes Received: 550
  Trophy Points: 180
  Gud sana bro
   
 11. TheMason

  TheMason JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2017
  Joined: Feb 22, 2017
  Messages: 2,247
  Likes Received: 1,979
  Trophy Points: 280
  Hivi Huu usemi wa Karma is a bitch una maana gani?
   
 12. TheMason

  TheMason JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2017
  Joined: Feb 22, 2017
  Messages: 2,247
  Likes Received: 1,979
  Trophy Points: 280
  pamoja kakaa
   
 13. TheMason

  TheMason JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2017
  Joined: Feb 22, 2017
  Messages: 2,247
  Likes Received: 1,979
  Trophy Points: 280
  one love
   
 14. Daby

  Daby JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2017
  Joined: Oct 26, 2014
  Messages: 23,336
  Likes Received: 51,963
  Trophy Points: 280
  Somo zuri.
   
 15. Daby

  Daby JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2017
  Joined: Oct 26, 2014
  Messages: 23,336
  Likes Received: 51,963
  Trophy Points: 280
  Wewe jamaa kwanini kila uzi wako lazima nipate notification? Huwa unafanyaje kwenye nyuzi zako na wakati sijakusubscribe?
   
 16. Mr.Black

  Mr.Black Member

  #16
  Jul 20, 2017
  Joined: Jun 9, 2014
  Messages: 97
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 25
  Duh
   
 17. TheMason

  TheMason JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2017
  Joined: Feb 22, 2017
  Messages: 2,247
  Likes Received: 1,979
  Trophy Points: 280
  Daah kivipi boss?
   
 18. TheMason

  TheMason JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2017
  Joined: Feb 22, 2017
  Messages: 2,247
  Likes Received: 1,979
  Trophy Points: 280
  one love boss
   
 19. Joseverest

  Joseverest Verified User

  #19
  Jul 21, 2017
  Joined: Sep 25, 2013
  Messages: 36,579
  Likes Received: 41,954
  Trophy Points: 280
  Nimesoma tu kwenye ushauri huko kwingine hata sijaelewa
   
 20. O

  Omerta JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2017
  Joined: Jan 3, 2016
  Messages: 2,969
  Likes Received: 2,291
  Trophy Points: 280
  Dah urafiki wa kuzungukana wa mashaka sana
   
Loading...