Sealing kwa jina kaka

Sealing kwa jina kaka

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Ni J2 siku ya mapumziko, wife amekutengenezea lunch nzuri sana, umekula umemaliza unaamua kusaidia kuosha vyombo.

Wakati unapanga vyombo vizuir kabatini unakutana na kipande cha gazeti ndani kimewekwa powder na vijimajani majani kutoka kwa Sangoma, unagundua yake majani yalikuwa pia kwenye sahani yako ya know chakula.

Utachukua hatua gani?
 
Kwa kua nina uhakika uchawi haupo i wont do anything.

Siwezi kufanya chochote kwa mambo ambayo hayapo, nitaonekana taahira.
 
Ndio maana zamani chakula kilikuwa kinatengwa mezani familia nzima tunakula,ilikuwa safi sana!
Nyama anaopolewa mtoto kwanza then wengine......
Haikuwa kusikika upuuzi huo......ila huu usasa wa kila MTU sahani yake Ndio balaa
 
Nitajitadhimini imani yangu wapi nimeyumba ili nirudi kwenye mstari mnyoofu wa kumuamini MUNGU.
ili tupambane vizuri maana vita vyetu si vya damu na nyama.
 
nitashukuru kwa chakula na kumwomba anitengenezee chai na achanganye na yale maji niliyoyaona kabatini,taste good,masuala haya ni mind set yako kuyapuuza ndio siri ya ku cope nayo
 
Back
Top Bottom