Mwanaume unatembeaje barabarani una lamba chocolate?

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Sep 25, 2014
3,085
5,417
Kha!!!!!!

Hizi tuhuma zinakwenda moja moja kwenu wanaume wa Dareselama...
Hii tabia ya kulamba chocolate imekaaje? yani nauliza kidume na mindevu yako umeng'ang'ana na chocolate inakuaje yani..

Hii tabia inezidi sana Dar mpaka inakera aisee, habari ya kulamba lamba muwaachie wanaopaswa kufanya hivyo... Mnatuaibisha vidume wa kweli.
 
kaanzishe taarabu huko watakusikia kwa urahisi
 
wewe unadhani mwanaume kama huyu anashindwaje kulamba chocolate au ubuyu??
 
Attachments

  • tapatalk_1484473143100.jpeg
    tapatalk_1484473143100.jpeg
    66.1 KB · Views: 69
Acheni wivu wanaume wa mikoani. Unajua maisha haya kila mtu ana jinsi anavyoyaishi, na kila mtu anaishi kwa kutenda aonavyo yeye. Sasa wewe utoke huko utokapo na uanze kumpangia mtu jinsi ya kuishi utakua ni punguani, tena kumpangia mtu jinsi ya kutumia vitu ambavyo anaspend pesa yake aliyoipata kwa jasho lake, how come?

Kuna vitu hata mtu akifanya bado havimuongezea wala kumpunguzia au kumuondolea uanaume wake.
Akila ice cream njiani je atakua sio mwanaume tena? Je na wewe usiyekula njian au kula kabisa na kula ubuyu utakua mwanaume zaidi ya yule mwingine??

Kuishi ni maisha, na maisha ni kuishi. Mind your own business folks
 
Kweli wanazipata kwa jasho mkuu!!!!
 
Attachments

  • tapatalk_1473776004452.jpeg
    tapatalk_1473776004452.jpeg
    76.5 KB · Views: 72
Hakuna kosa hapo wa la ushamba hakuna. Wewe unayetembea unakunywa bia , soda au kiroba au unayetembea ukila Muhindi wa kuchoma kuna tofauti gani. Kila mtu ana uhuru wa kufanya anachopenda ili mradi asimkere mwezake sasa kama wewe unakerwa kwa kuona mwanaume analamba icecream basi ujue una matatizo.

Hazijaandikwa wala kutengenezwa kwaajili ya wanawake.... Hata huku Arusha wanazilamba sana pamoja na Baridi hii.... 21'C
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom