Namna wazazi wanavyoongea na mabinti zao katika umri tofauti

supasonic

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
356
307
Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya.

Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena.!

Miaka 23: Lini utatuletea mchumba wako?

Miaka 26: Wenzio wanaolewa.

Miaka 30: Tumekuambia kwamba acha kuchagua sana wanaume, hutaki kusikia!

Miaka 33: Kuna mtu wa Mungu yupo kule anaombea watu unaweza kupata mchumba

Miaka 36: At least pata mtoto mmoja.

Miaka 39: We will take care of all the wedding
bills...yeyote ni sawa.

Miaka 45: hivi wewe nani alikuroga.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu aishi apendavyo, ukiangalia na kusikiliza sana mambo ya kila mtu, hapo unakuwa unaanza kumkonyeza malaika mtoa roho akutembelee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom