Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,797
- 6,795
Habari,
Hapa jirani kuna mdada mmoja yaani amenisikitisha moyo, mdada mrembo kwa kweli maana ana sura na HALICHACHI BANDO kama la yule Suzy Bern wa E-news.
Kinachoniuma pamoja na kuwa na haiba ya mwanamke mrembo lakini hajielewi. anampenda huyu jamaa mmoja hivi mpaka namuonea huruma mpaka najiuliza maswali
Kuna watu wana hela za michezo kwanini usijipendekezze angalau na wewe wakuhemee wakupe.
Ningekuwa mwanamke kwa mwaka mmoja tu ningehakikisha ndani ya miezi sita napata mtaji wa kuanzisha benki au hifadhi ya jamii kama PSPF.
Ningejituma kitandani kama napigana vita na ISILI. Kiuno kingezunguka kama tairi za gari kwa wenye nazzo wanipe? Haiingii akilini unatumia urembo wako kwa watu wasio mbele wala nyuma, yaani ukae na mtu asikupe kitu akikupiga mimba anakimbia kama mambo.
Yaani nimewazarau wanawake msiojielewa ningekuwa mimi ni nyie ningekuwa sambamba na kina Mengi, Kimei, Dewji na Bakhresa na Manji yaani hawa mashosti zangu wangekuwa wananisoma FORBES mwanamke tajiri TZ.
ACHENI MAPENZI YA KIFILIPIN