social_science
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,104
- 1,262
habari za weekend wakuu
Natumaini mnaendelea vema na weekend iliyopo na inayoendelea mbele
Tukiludi ktk mada wanawake huwa mnapenda style gan ya mtongozo mpaka kuingia kunako mahusiano??
Baada ya mahusiano kutengenezwa huwa mnakua willing kuingiliwa baada y muda gan toka mahusiano yazalishwe
asante
nawasilisha