Kunaulazima wa kuweka wazi?

Kunaulazima wa kuweka wazi?

Pale baba wa rafiki yako anapokutaka kimapenzi kuna ulazima kumwambia rafiki yako?? au kukaa kimya.
Una mute tuu maisha yanaendelea maana huezi jua ukimwambia atachukua uamuzi au hatuagani
 
Sasa ukimwambia atapata faida gani? Tumia akili yako vizuri, msikilize mzee anachotaka na kama unaweza kumpa mpe! Kama hutaki mjibu tu kiungwana kwani maisha lazima yaendelee.
 
Sasa ukimwambia atapata faida gani? Tumia akili yako vizuri, msikilize mzee anachotaka na kama unaweza kumpa mpe! Kama hutaki mjibu tu kiungwana kwani maisha lazima yaendelee.
 
mzee anataka nyama laini

hebu mkubalie
 
Back
Top Bottom