Llio 002
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,639
- 2,086
Habari wana jukwaa inasemekana huu ndio mchezo unaopendwa na madada wazuri na mabishoo wengi wa mjini. Utakuta brothermen kapiga buti kali na pensi lake mwenye mikono kama vile ana majipu alivyo itanua
Cheki majama hapo wakifanya mambo yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheki majama hapo wakifanya mambo yao
Sent using Jamii Forums mobile app