Eeeeh akili ikae sawa atulie[emoji14] [emoji13] [emoji3]you mean nimzibue makofi au?
mkuu ungefafanua vizuri kuwa mchangamfu ni kitu kizuri tatizo ungeeleza kuwa anacheka cheka ovyomkuu, mtu anachekea chekea wanaume hovyo halafu unasema hakuna madhara?
Mwambie ukweli bana upendezwi na tabia yakehaki za binadamu wataingilia kati mkuu