Tized
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 4,025
- 5,980
Wakuu salaam.
Nimekua nikitatizwa sana na experience za maisha zaidi sana juu ya kupenda.
Mara nyingi ikitokea mmoja kati ya wawili kampenda na kumuonesha mwenzake upendo wa hali ya juu, upande wa pili huwa kuna kubweteka au kuzorota kwa response kwa mwenzake baada ya muda. (Kuchukulia mazoea au kiburi kuwa huyu kwangu kafika so naweza kuwa vyovyote ntakavyo)
Na kadiri mmoja anajitahidi kuongeza mapenzi ndio upande wa pili unazidi kurespond negatively na kadiri mmoja anavyorespond negatively, mwenzake atazidi kuongeza juhudi kuonesha upendo wake
(uhusiano wa mwanaume na mwanamke, wazazi na watoto, mtu na mtu i.e marafiki wa kawaida etc. kwa leo naomba tuzungumzie uhusiano wa kimapenzi kati ya Mwanamke na Mwanaume)
Najiuliza.
1.Je? kupenda kuna inverse relationship (negative correlation when 1 goes up, the other goes down and vsv)
2.Je? mtu akijua anapendwa sana hupata kiburi kwa kuamua au anajikuta katika hali hiyo?
3. Ili kuondoa hii hali kila mmoja awe mguu moja ndani mmoja nje ili kupunguza kubweteka? kama inaweza saidia, Vipi wanandoa?
4.Je? tunakosa shukrani (appreciation) tunapopendwa na kujaliwa na wenzetu? au tunashindwa kutambua uthamani wa kupendwa?
NB:Kuna mwanasaikologia mmoja amewahi kusema The one who loves the most suffers the most, and the one who loves the least Controls the relationship How valid is this statement with respect to our relationships?
Naomba kuasilisha.
Tized.