Najilipua kwenda kutafuta mke Zanzibar

Najilipua kwenda kutafuta mke Zanzibar

Udochi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
1,077
Reaction score
1,583
Nimepata taarifa kuwa wanawake wa Unguja na Pemba ni watiifu sana kwa waume zao,
Wanatii maagizo na miongozo ya waume zao kwa kiasi kikubwa kuliko wa Tanzania Bara.

Wanawake wa Zanzibar wengi hawana mambo ya kuleta ujuaji wala kubishana ovyo na waume zao,
Na kwa kiasi fulani penye ugumu wa maisha ni wavumilivu.

Hii ni kutokana na kurithishwa misingi ya kiimani inayowahimiza sana kuzipa heshima na kuwa na adabu kwenye ndoa zao.

NB:
Ingawa sio wote,
Na sio wakamilifu % zote,
Kwani nao ni binadamu.

Baada ya kupata habari hii nimeamua kwenda kujilipua kubeba mke Zanzibar ambako natarajia kwenda kupiga kambi kama mwezi mmoja hivi ili kufanikisha maswala.

Kwa mnaowafahamu vema wanawake wa Zanzibar nijuzeni tabia zao nyinginezo - zote chanya na hasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
utaweza kuwaridhisha?
hasa kwa kupitia mlango wa uani?
 
Mmmh, kumbuka kuna udini huko, vipi upo sambamba nao?

"Supplanter"
 
kila la heri na karibu sana, Mungu akusimamie upate chaguo la moyo wako
 
Back
Top Bottom