Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,425
Habari za mida wajameni,
Bila shaka wazima wa afya kwa wale wagonjwa poleni. Pia natoa pole kwa Mshana jr nimeona post kapata msiba wa mama yake, nakuombea Mungu akupe wepesi kwenye hiki kipindi kugumu.
Niende moja kwa moja kwenye mada;
Wakati tukiwa kwenye mahusiano ya kimapenzi wengi wetu huwa na malengo ya kufika mbali katika mahusiano yao/kufikia malengo waliyokusudia lengo la hii mada kuna kitu nataka kukijua katika swala zima la huduma hasa hasa kwa mwanamke.
> mfano unataka let say unataka kununua chupi au unataka kwenda saloon au kununua nguo au vipidozi au pad, kama mnavyojua sisi wanawake lazima tuwe na hayo mahitaji je, ni sawa unamuomba mpenzi wako pesa ya kwenda saloon au ya kutumia matumizi madogo madogo anakujibu kabla ya mimi saloon ulikuwa huendi? Au ulikuwa huli? Au anakwambia mimi siwezi kukuhudumia chochote mpaka nitakapokuoa hiyo ni sawa?
Naomba mniambie kama wapenzi jukumu la kumtunza mpenzi wako I mean mwanamke ni la nani?
NOTE: MATUSI SITAKI