BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,840
Habari wakuu,
Nina mdogo wangu kaamua kuoa, anayetaka kumuoa ni Mnyamwezi.
Hivyo kabla hatujaenda kulipa mahari ningependa kujua ni vitu gani vya kimila ambavyo huwa wanadai. Kwa mfano; baadhi ya makabila hudai blanket, jembe nk
Tunaomba mawazo yenu wakuu