Nakataa hakuna mwanamke ambaye toka ubinti mpaka uzeen hajawi kufanya mapenzi na mwanamme zaid ya mmoja

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
923
1,465
Ni masister wakikatoliki walioweza kumshinda adui shetani katika kuzikabili tamaa za mwili,wengi tuliochagua upande wa kuujaza ulimwengu kwa asilimia mia moja naamini hakuna hata mmoja aliyeweza kudumu na mme mmoja.
Naamini katika harakati za maisha lazima aliwahi kukutana kimapenzi na mwanaume tofauti na huyo aliyenaye sasa hivi
 
Wapo wengi tu wameolewa na kuzaa na kuishi na dick mmoja tu we sema umezoea kuokota unataka kutuaminisha tofauti but wapo wenye kujielewa
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom