Nasema haya nimefanya uchunguzi nimegundua kuwa wanawake wa ss wameganyika mafungu matano
Fungu la kwanza ni mfano lapili masirahi la tatu kupatana la nne mchumy la tano nyiwa
Mfano anafananisha maisha yako na yake akiona amfanani anasepa
Masirahi anangalia akiona akiona apati anachokitaka nae anasepa
Kupatana ndio wale wanaouza mkikutana mnamalizana ukitoka sio wako tena
Mchumy akiona umpi pesa nae anaondoka
Njiwa ndio wale waliolewa wakiona mume kaishiwa kipato utamuona nae anamaliza vipaa vya nyumba
Sent using Jamii Forums mobile app