Wanawake mlioolewa tuwasaidieje?

Wanawake mlioolewa tuwasaidieje?

katichi

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2016
Posts
2,011
Reaction score
1,183
Za jioni wakuu,

Kiukweli nimekuwa katika sintofahamu ya jinsi ya kuwasaidia hawa Dada zetu walio olewa.

Nimekutana na mdada rafiki yangu katika kuongea akanipatia namba ya simu lakini ukimtafuta umpati siku zimeenda akanipigia nikamuuliza vipi akajibu poa mbona haupo hewani akaniambia simu imeharibika hii yenyewe nimeazima. Nikamuuliza sasa umetuma maombi ya kazi wakikupigia si watakukosa kiukweli nilisikitika nikamwambia hata kijisimu cha 15000 si ununue akajibu sina hela ila nikipata nitanunua.

Kilichoniumiza ni kutopatikana kwake halafu pia ameomba kazi sehemu mbalimbali anasubiri kuitwa sasa watampataje na hana simu?.

Nilifikiria nimtumie hela kidogo anunue simu nikawaza ni mke wa mtu nisijeonekana nataka niharibu ndoa za watu.

Swali je ivi inawezekana kumsaidia mke wa mtu katika hali kama hii kwa kumnunulia simu ili akipigiwa na MHR apatikane kirahisi au tuwaache wapambane na hali za waume wao?
 
Apambane na hali yake

mwanza kwetu
 
Anakutega tu uyo... Ila uwe makini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo napo ni mtuhani, lakini mpe simu kwa huruma yako tu. Na isiwe ndo njia ya mawasiliano kila siku nawewe.
Akiulizwa na mmewe atasema kapewa na rafiki yake kwa ajili ya kipindi cha kusubiria majibu ya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili nalo ni la kuomba msaada wa mawazo?!
 
Muache utagombanisha ndoa za watu. njoo ninunulie mie sijaolewa bado
 
Back
Top Bottom