Truths
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,494
- 1,505
Imezoeleka kua Raha ya Dunia inapatikana pale watu hawajavaa nguo. Hata hivyo utafiti unaweza kukushangaza ambapo, ubongo umeonyesha kua miguu ya baridi in kipingamizi cha kufikia kilele(orgasm).
Utafiti uliofanywa nchini Uholanzi unaonyesha kua 80% ya wanawake waliovaa soksi wakati wa kusex walifikia orgasms ukilinganisha na wanawake 50% waliokua hawajavaa soksi ndio pekee walioweza kufika climax.
Maelezo ya utafiti yanaonyesha wanawake na wanaume wanatofautiana katika kupata Hisia(stimulation) ambapo wanaume wanapata hisia kwa miguso(physical) wakati wanawake wanahitaji utulivu (comfort)na kujihisi salama zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app