Wanawake wa Dar ni wasafi na pia wanajua kujiremba na kupika kuliko wa mikoani

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
923
1,465
Niwapongeze kwa kuipenda miili yenu, wanawake wa Dar mkitembelea mikoani mnakuwa na mionekano tofauti na wa huko mikoani.

Wengi wanawaamini katika sekta ya kujiremba na pia kukiwa na sherehe mikoani ninyi wanawake wa Dar endapo mkiwa huko mikoani mnapewa sekta ya mapishi na mapambo.

Hongereni sana wanawake wote wa Dar
 
Niwapongeze kwa kuipenda miili yenu,wanawake wa dar mkitembelea mikoani mnakuwa na mionekano tofauti na wa huko mikoani.
Wengi wanawaamini katika sekta ya kujiremba na pia kukiwa na sherehe mikoani ninyi wanawake wa dar endapo mkiwa huko mikoani mnapewa sekta ya mapishi na mapambo
Hongereni sana wanawake wote wa dar
Nakubaliana na wewe mleta mada.

Wanawake wa mkoani wengi wao hata umuhimu wa kusafisha vizuri papuchi zao hawauoni .
 
Niwapongeze kwa kuipenda miili yenu,wanawake wa dar mkitembelea mikoani mnakuwa na mionekano tofauti na wa huko mikoani.
Wengi wanawaamini katika sekta ya kujiremba na pia kukiwa na sherehe mikoani ninyi wanawake wa dar endapo mkiwa huko mikoani mnapewa sekta ya mapishi na mapambo
Hongereni sana wanawake wote wa dar
Du Kama Uasfi una utafsiri kwa kuonekana Mweupe na Mabaka kwenye Joint vidoleni basi Umepatia ila wakati huo huo Kama Usafi unaupima kwa Kuosha Papuchi Mbona utafiti unaonesha klwa wanaongoza kwa kuugua Magonjwa ya Zinaa na UTI.

Wadad wa Miikoani ni Wazuri naWasafi kwa kuwa hawatumiii mikorogo au vipodozi vya aina yoyote.
 
-Ndumilakuwili-
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom