Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Za asubuhi wakuu, Niende kwenye mada, hapa niko kwenye haisi(daladala) kuelekea Buhogwa na mbele ya siti yangu kuwa wadada warembo wekaa ni marafiki lakini mmoja amechukuwa tyubu fulani ameanza...
10 Reactions
156 Replies
20K Views
Leo sitaki kuongea sana, hebu soma iliyopostiwa humu, mwanamke akitafuta mtoto na handsome boy!! Anaanza hivi, Moja awe mwanaume mwenye mvuto, mweupe ikiwezekana shombe kabisa ulefu futii 5...
2 Reactions
66 Replies
4K Views
Habari za siku ya jumapili wapendwa, Nahisi maelezo yatakuwa marefu ila najitahidi kuyafupisha. Nimekuwa nikijitathmini na kulinganisha na uhalisia wa maisha.... nikagundua vingi tuu kuhusu uhuru...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Husika na kichwa cha mada hapo juu, Kwa wale wanaowahi kukojoa muda wa kugegeda yani goli moja ndani ya Dk 1 na kushindwa kuendelea. Basi dawa ni ndogo, piga chupa tatu za balimi ndogo...
5 Reactions
46 Replies
8K Views
Nashauri ili kupata mapato zaidi, basi hata short time Kwenye guest lazima watoe EFD receipts, zitasaidia kuongeza mapato kuliko kusimamia jambo moja tu. Chanzo cha mapato hicho kisiachwe...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Jukwaa hili, recently naona number ya ID za jinsia ya Ke ikiongezeka na uchangiaji wao kuwa mkubwa. Na hata wasaka wachumba hapo Love connect, wengi ni wadada kwa sasa. Previous wachangiaji wengi...
6 Reactions
139 Replies
9K Views
Habari zenu wadau wa JF, Kuna hili swali huwa najiuliza lakini sipati jibu huenda humu nikapata jibu. Hawa michepuko ni balaa unapokuwa nae hasa 6 kwa 6 nakwambia wana mambo adimu sana kwenye...
7 Reactions
70 Replies
10K Views
Kama mkojo wako wa asubuhi huwa haufiki nusu ya Chupa ya Bia ya BALIMI jua imeshakula Kwako hivyo. Kama mkojo wako ule wa Kwanza wa asuhuhi ukiwa unakojoa haunuki na hauna Kasi kama ya Bombardier...
17 Reactions
126 Replies
24K Views
KIla binadamu ana vigezo vyake linapokuja suala la kuchagua mwenza wa maisha. Wapo wanaume wanaopenda wanawake wenye makalio makubwa au maziwa makubwa na wapo wanaopenda wasichana wembamba n.k...
1 Reactions
163 Replies
18K Views
Yaani hawa watu wanaojiita mara mitume, manabii, Sheikh Sharifu Majini huwa wanaoneshwa continously na Channel 10 TV Sasa sikuhizi waanaanza kuoneshwa kuanzia asubuhi na wanaconsume muda mrefu...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Hakika nimebaki nashangaa na kushindwa lakusema kuhusiana na tukio hili Nyumba za kupanga haziishi vituko aseee, leo watu tupo mapumzikoni mwishoni mwa juma wapangaji wengi tupo nje tunapiga...
1 Reactions
54 Replies
8K Views
Wakuu habari... Binafsi nimekuwa mtu wa wivu mpaka najiogopa kuanzia suala la mapenzi, elimu, familia, maisha kwa ujumla. Aisee naombeni msaada kwa hili maana sio kwa wivu huu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kelelel hazisadiii, Kama wewe sio mbunifu, Mara mke wangu nyumbani hatuli,i Ili hali hujui tatizo ni nini, Kama unajua kuwa una kasoro na ukazitambua, Basi wewe ni shujaa, Na kama huzitambui...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Kuna wanawake wapo tayari kuolewa kwa ajili ya kuondoa nuksi tuu eti na wao waweke historia ya kuolewa lakini si kwa ajili ya kujenga familiar!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu wadau, Hasa nyie mliopo katika ndoa naombeni mniambie hili huwa mnalitibu/mnalisovu vipi? Mimi ni mjasiriamali na nina ndoa huu mwaka wa pili na nusu, mke wangu yeye ni mwalimu S/m na...
3 Reactions
262 Replies
26K Views
Ndugu wanajf ninyi ndio jamii kubwa yakutoa ushauri mzuri hapa Tanzania, mimi nimebahatika kupata takribani watoto 4 na kila mtoto na mama yake kulingana na mazingira ya kiafrika. Lakini cha...
4 Reactions
84 Replies
9K Views
Sipendi wanaume kwa sababu wanatesa wasichana[/wanawake mpk wanabaki wanajiburudisha na wimbo wa aslay-likizo' Je ww msichana mwenzangu kwanini hupendi wanaume???
1 Reactions
62 Replies
5K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu naomben ushauri mchumba wangu amekutwa mjamzito na amefaulu kwenda chuo kwa division 1 ya 9 sasa hapa nilipo nmechanganyikiwa sasa sijui nifanyeje na kuitoa hataki na Mimi napenda asome...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari wakuu Natumai weekend ni njema kwenu kwa upande Wang nipo sawa natizama dead men tell no tales hapa. Lengo la thread Kuna mwanamke namtamani endapo mambo yakienda sawia tuanze kujamiiana...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom