Zone Romantic

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Kelelel hazisadiii,
Kama wewe sio mbunifu,
Mara mke wangu nyumbani hatuli,i
Ili hali hujui tatizo ni nini,
Kama unajua kuwa una kasoro na ukazitambua,
Basi wewe ni shujaa,
Na kama huzitambui,
Watakuibia wajanja,
Ubunifu ni muhimu sana,
Wasije kutukimbia,
 
Sijaelewa ni nini hicho kina kazi gani au kimetoka baharini kwa yule mtu wako?
 
Ivuga huna malenga yoyote, kwanza kipande chako cha maneno hakieleweki kama ni wimbo, tenzi, shairi, ukawafi, wajiwaji au utendi? Sijaona kanuni yoyote ya kishairi hapo. Nisaidie tafadhali.
 
Ivuga huna malenga yoyote, kwanza kipande chako cha maneno hakieleweki kama ni wimbo, tenzi, shairi, ukawafi, wajiwaji au utendi? Sijaona kanuni yoyote ya kishairi hapo. Nisaidie tafadhali.

uko right,hakuna umalenga wowote uliyotumika hapo....
 
duh,mbona kama mapenzi ndo hivi ni mateso sasa,stuffs zote hizo za nini?

uwiii!! mateso tena? naomba niwe jirani yako tafadhali..when i say zonee romantic simaanishi kuwa unaishi wewe na wanao watatu au wanne kwenye chumba kimoja then useme utaweza haya mambo....kula nanasi kwahitaji nafasi
 
Ivuga hizo zinatumikaje?BTW hayo mashairi yana uhalisia
 
Mateso mwenzangu, haya sie hatuyawezi mambo ya kidhungu.

haya sio mambio ya kizungu bibie, wazungu wametangulia tu...ukisema yakizungu basi hata simu hutapia,internet hutatumia wala magari hutapanda
 
sibakwi tafadhali bali naletewa mabo
nimemuuliza gaga anasali wapi niende naye hajanijibu

Nenda kanisa lolote lililo karibu na nyumbani kwenu huna haja kuja nalosali Mungu yuko popote pale, si unaona unavyokuja na thread hizi hayo mambo unayopewa na jini sie ni mageni kwetu, mara paka , mara pingu,Nenda kw mtumishi babu au kwa moses kulola ukaombewe
 
Ivuga hizo zinatumikaje?BTW hayo mashairi yana uhalisia
mmmm ,mrembo hii kitu inartumika kwenye kuongezea maujanja...na huwezi kuitumia kila siku au sku zote..ina mda wake/siku zake za kutumika na inategemea tena na moods za wahusika
 
Nenda kanisa lolote lililo karibu na nyumbani kwenu huna haja kuja nalosali Mungu yuko popote pale, si unaona unavyokuja na thread hizi hayo mambo unayopewa na jini sie ni mageni kwetu, mara paka , mara pingu,Nenda kw mtumishi babu au kwa moses kulola ukaombewe
kwa nini hutaki nije kanisani kwako? mimi sio jini tafadhali dada yangu,mimi ni rafiki mwema
 
Gaga hio haina uhusiano wowote na majini, na vinauzwa hata madukani,vinatumika kwenye utundu

Huu utundu labda huko mamtoni vitanda pia vingi vinaruhusu, unaweza mlock mtu, hapa bongo mtu karithishwa mninga wake atamfungia wapi mpenzi wake?
 
kwa nini hutaki nije kanisani kwako? mimi sio jini tafadhali dada yangu,mimi ni rafiki mwema

Njoo Efatha mi nasali popote kesho naenda Efatha , Jioni leo nitenda makonde mbezi kuna kanisa pia
 
Huu utundu labda huko mamtoni vitanda pia vingi vinaruhusu, unaweza mlock mtu, hapa bongo mtu karithishwa mninga wake atamfungia wapi mpenzi wake?

kwani mamtoni ndio maendeleo yao yamezidi hata vitanda vyetu? unachukua holiday moja hata week end na mzeya mnaenda kutulia sehemu...tatizo watu wengi wanawaza matatizo tuu
 
Back
Top Bottom