Kijana wa kiume kufua chupi za mama yake

Kifurukutu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
4,699
Reaction score
6,825
Hakika nimebaki nashangaa na kushindwa lakusema kuhusiana na tukio hili

Nyumba za kupanga haziishi vituko aseee, leo watu tupo mapumzikoni mwishoni mwa juma wapangaji wengi tupo nje tunapiga upepo na stori mara kijana wa kiume umri kama miaka 14- 15 hivi yupo kidato cha kwanza anatoka na beseni kubwa ndani yake limejaa nguo za ndani "chupi" za mama yake ambaye ni mpangaji pia

Hii kitu imenishangaza kwakweli, kumbe hii ni tabia yake huyu mama kumfulisha kijana vyupi vyake tena viiiingi, yeye ni kuvaa na kurundika katika wapangaji wote nilikua nimbaki mimi tu ndio sijashuhudia tukio hili

Huyu mama yeye huwa ni bize tu nashughuli zake huko inasemekana eti anakosa muda hivyo huyu kijana wake ndio mfuaji wake hadi chupi!

Hii ni kali but najaribu kuconnect dot huenda hii ni impact ya u single mom, maana huyu mazaa yupo mwenyewe tu na watoto wake wa3 hana bwana

[emoji116]

"mwanaume mashine"
 
hapo mwisho

"mwanaume mashine"

kasagie mahindi.

ila mambo ya kupanga kinachonikera ni hiko tu

yani hata underware ikionekana baasi vyumba vyoote mnatomasana mjue kilichopo kwa mpangaji mwenzenu.

sasa ona huyu ni mwanaume umerusha hadi huku jf.

kila mtu anauhuru wake na ustaarabu wake ndio maana hii nnchi ni HURU.
 
Sioni tatizo hapo kwa huyo Mtoto wa Kiume Kufua hizo Chupi ( Mbunye Cover ) kwani zilimsaidia sana kutoingiza Vumbi lolote au Bacteria wowote ambao labda wangemdhuru Yeye alipokuwa tumboni mwake kwa miezi hiyo Kenda / Tisa.
 
Huenda hata wewe ulifua sana vyupi vya mama yako!

Chupi ngapi wanazianika nje tunaziona na inakuwa poa tu

Walau angekua ni binti anafua chupi za mama yake na sio wa kiume kama huyu!

[emoji116]

"mwanaume mashine"
 
Hakika nimebaki nashangaa na kushindwa lakusema kuhusiana na tukio hili

Nyumba za kupanga haziishi vituko aseee, leo watu tupo mapumzikoni mwishoni mwa juma wapangaji wengi tupo nje tunapiga upepo na stori mara kijana wa kiume umri kama miaka 14- 15 hivi yupo kidato cha kwanza anatoka na beseni kubwa ndani yake limejaa nguo za ndani "chupi" za mama yake ambaye ni mpangaji pia

Hii kitu imenishangaza kwakweli, kumbe hii ni tabia yake huyu mama kumfulisha kijana vyupi vyake tena viiiingi, yeye ni kuvaa na kurundika katika wapangaji wote nilikua nimbaki mimi tu ndio sijashuhudia tukio hili

Huyu mama yeye huwa ni bize tu nashughuli zake huko inasemekana eti anakosa muda hivyo huyu kijana wake ndio mfuaji wake hadi chupi!

Hii ni kali but najaribu kuconnect dot huenda hii ni impact ya u single mom, maana huyu mazaa yupo mwenyewe tu na watoto wake wa3 hana bwana

[emoji116]

"mwanaume mashine"
 
Sioni tatizo hapo kwa huyo Mtoto wa Kiume Kufua hizo Chupi ( Mbunye Cover ) kwani zilimsaidia sana kutoingiza Vumbi lolote au Bacteria wowote ambao labda wangemdhuru Yeye alipokuwa tumboni mwake kwa miezi hiyo Kenda / Tisa.
Mawazo yako yaheshimiwe!

[emoji116]

"mwanaume mashine"
 
Singo maza achen hizo

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Hakika nimebaki nashangaa na kushindwa lakusema kuhusiana na tukio hili

Nyumba za kupanga haziishi vituko aseee, leo watu tupo mapumzikoni mwishoni mwa juma wapangaji wengi tupo nje tunapiga upepo na stori mara kijana wa kiume umri kama miaka 14- 15 hivi yupo kidato cha kwanza anatoka na beseni kubwa ndani yake limejaa nguo za ndani "chupi" za mama yake ambaye ni mpangaji pia

Hii kitu imenishangaza kwakweli, kumbe hii ni tabia yake huyu mama kumfulisha kijana vyupi vyake tena viiiingi, yeye ni kuvaa na kurundika katika wapangaji wote nilikua nimbaki mimi tu ndio sijashuhudia tukio hili

Huyu mama yeye huwa ni bize tu nashughuli zake huko inasemekana eti anakosa muda hivyo huyu kijana wake ndio mfuaji wake hadi chupi!

Hii ni kali but najaribu kuconnect dot huenda hii ni impact ya u single mom, maana huyu mazaa yupo mwenyewe tu na watoto wake wa3 hana bwana

[emoji116]

"mwanaume mashine"
Mmmh wamama wa mjini hao muda wa kuvaa na kuvua anao, muda wa kufua na kuanika hana duh
 
Back
Top Bottom