Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Enzi zetu mtoto wa kike alipelekwa unyagoni na kufundishwa mambo ya ndani. Sikuhizi watoto wanapelekwa boarding school hata mambo ya kuchezwa yanapungua. Kuna umuhimu wa kuendeleza mila hii?
9 Reactions
85 Replies
10K Views
Daniel Phillington wrote: EVERY WOMAN SHOULD READ THESE 30 RULES FOR GODLY WOMEN----------------- 1). Never raise your voice for any reason to your husband. Its a sign of disrespect.(Prov 15v1)...
9 Reactions
69 Replies
14K Views
You all know whats going down... Kwanini mpango wa kando hunoga zaidi... Share your experience here please .. Kwa wote. .... Ahsanteni.
0 Reactions
2 Replies
900 Views
Mimi ni kijana miaka 27, nina degree, nimeajiriwa natafuta mchumba miaka 18-22 awe mweupe, umbo la wastani, dini mkristo, elimu yoyote ile aliyonayo. Aliye tayari anitafute inbox. Kwa wengine...
0 Reactions
1 Replies
737 Views
Je,katika maisha yenu ya mapenzi hamjawahi kujijutia kwa kumkosa mwanamme ambaye ulitamani akuoe licha ya kujipendekeza kwake akutongoze ila ukaambulia urafiki wa kawaida tu? Swali dogo la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ogopa sana wadada wanaotumia marashi hasa makali Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu... Mimi ni kijana wa miaka 20 ila jamani hadi najigopa kwanza sina swaga kuanzia kuvaa...ila kwa upande wq kutongoza najitahidi sasa shida inakuka kukubaliwa na kupewa tunda la mti wa...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Nilikuwa katika pilika zangu za kutafuta mkate,bahati nzuri nilikutana na wadada wawili wamejaaliwa kwa uzuri wa umbo na sura. Msukuma guta nikajitosa kuelezea yaliyomoyoni kwa mmoja wa wale...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Babu mwenye umri wa miaka 85 afunga ndoa na mwanamke mwenye umri wa miaka 30 Mzee huyo anadai kuwa atapambana na wale watakaonyemelea huyo ngoma yake mpya.mmh yaani huyo mwanamke ni kwa kawaida ni...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Wadau poleni kwa 'BERLIN WALL' Kama mada inavyojieleza nina mchumba wangu na wote tunaishi huku mikoa ya kusini mwa Tanzania. Sasa nimepata mtihani mama mkwe wangu ni mkarimu sana si unajua tena...
6 Reactions
78 Replies
12K Views
Huyu kaka alikuwa first boy friend wangu miaka ileee, tulipotezana kabisa si unajua harakati za maisha zilivyo nyingi. Imetokea anakaa jirani na work mate wangu, katika maongezi work mate...
29 Reactions
278 Replies
18K Views
X wangu nilishaenda jitambulisha kwao na yeye kwetu anatambulika. Kwa kawaida huwa anakuja kwangu, nampikia mda mwingine huwa namfulia kwa maamuzi yangu. Kuna siku alikuja na nguo ili nimfulie...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari za maisha ndugu zangu, bila shaka yanasonga kiugumuugumu hivyo hivyo tusichoke kuyaweka sawa. Maada niliyonayo leo ni kuhusu familia kwa upande wa ukoo wa Marehemu Baba yangu mzazi ambaye...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Hello, ninahtaji mchumba wa kike awe anaejielewa n.a. mstaarabu mcha Mungu umri 20-24 km upo nichek Pm Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Ni kweli, sikutakaga kuoa wala sikuwa na ndoto za kuwa na mke labda angalau mtoto! Ila dunia imebadilika, wanaume hawataki kuoa tena, dada zetu wanalia angalau wakitaka tu waitwe kwa jina la...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
NATAKA MCHUMBA: Leo na Mimi nimeamua nivunje Ukimya Baada ya kuchoka kuitwa majina Mbalimbali Nimechoka kuitwa MUHUNI, Kuitwa BARCHELA, Kuitwa mkumbatia MTO, nimechoka sasa na mimi nataka...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Kwanza nishukuru jukwaa la MMU kwa kunijenga, kunifundisha na kunielimisha kuhusu mahusiano kwani nimekuwa msomaji wa mda mrefu wa jukwaa hili hivyo michango mingi inayotolewa hapa kuitumia kuishi...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Huyu mwanamke ningekuwa na uwezo wa kununua kisiwa mathalani kile cha Mafia ningekinunua na kuwahamisha watu wote ili tuishi mimi na yeye tu. Nimfanyie mambo gani ili anipende peke yangu na...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Kamani samahani naomba kujua.ni hivi mke wangu amedukua simu yangu nikitumiwa msg yoyote whatsapp na yy anaona nifanyeje?
1 Reactions
155 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…