Nampenda sana,nataka awe wangu tu,asinitende

Nampenda sana,nataka awe wangu tu,asinitende

Ntandaba

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
922
Reaction score
1,487
Huyu mwanamke ningekuwa na uwezo wa kununua kisiwa mathalani kile cha Mafia ningekinunua na kuwahamisha watu wote ili tuishi mimi na yeye tu.

Nimfanyie mambo gani ili anipende peke yangu na wengine awaone kama mnyama haramu aliyekatazwa katika vitabu vitakatifu?.
 
Huyu mwanamke ningekuwa na uwezo wa kununua kisiwa mathalan kile cha mafia ningekinunua na kuwahamisha watu wote ili tuishi mimi na yeye tu.
Nimfanyie mambo gani ili anipende peke yangu nawengine awaone kama mnyama haramu aliyekatazwa katika vitabu vitakatifu
Mkojoleshe vizuri mpe heshima yake kama mwanamke wajali ndugu zake uza Mali zako wagawie masikin mpende kuliko unavyompenda mama yako waweza nunua kisiwa na ukamkosa au ukampata na wakware wakafanya yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mwanamke ningekuwa na uwezo wa kununua kisiwa mathalan kile cha mafia ningekinunua na kuwahamisha watu wote ili tuishi mimi na yeye tu.
Nimfanyie mambo gani ili anipende peke yangu nawengine awaone kama mnyama haramu aliyekatazwa katika vitabu vitakatifu
Ogopa kulizwa na mapenzi wewe dume bhana kaza mkono mimi mke wangu mkubwa ni account yangu ya bank pili watoto wangu Tatu wazazi nne Mungu wangu, mwanamke siyo ndugu yako that's y mapenzi yamekuwa Sanaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpende tu mkuu usiwe mwanaume ambae una gubu hivii kitu kidogo unanuna mdekeze hivi hakika hutajuta
 
Ogopa kulizwa na mapenzi wewe dume bhana kaza mkono mimi mke wangu mkubwa ni account yangu ya bank pili watoto wangu Tatu wazazi nne Mungu wangu, mwanamke siyo ndugu yako that's y mapenzi yamekuwa Sanaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh,..hadi Mungu umempa nafasi ya NNE wewe nomaaa sanaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji119]
 
Kila akiomba mpe hela mara Mbili aliyoomba niamini hata kuacha.
 
Usimwamini mwanamke, narudia tena usije kumwamini mwanamke 100%..

Ukiwa nae play your part ila akikupa mgongo changanya miguu fanya yako..
 
Wakwako peke yako?... Not in this world
 
Back
Top Bottom