Mzee wa miaka 85 aoa mwanamke wa miaka 30 huko Rukwa

Babu mwenye umri wa miaka 85 afunga ndoa na mwanamke mwenye umri wa miaka 30 Mzee huyo anadai kuwa atapambana na wale watakaonyemelea huyo ngoma yake mpya.mmh yaani huyo mwanamke ni kwa kawaida ni kitukuu cha huyo Mzee ili kujua mapenzi yana nguvu kwa sasa wanaitana baby upo. Toa maoni yako


Sent using Jamii Forums mobile app
Love doesnt ask y

Sent from Kingston Jamaica
 
Kikubwa huyo MZEE umeme upo wa kutosha? UMRI IS JUST A NUMBES...sio tatizo ktk mapenzi.....KIKWAZO NI umeme UPO WA NGUVU WA KUSUKUMA JIKO LA UMEME? au umeme wa KUCHARGE SIMU TU....big UP MZEE.....PANGA LA ZAMANI MAKALI YALE YALE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom