Mdogo wangu anataka mke anasema yupo serious kabisa.

mzeewangese

JF-Expert Member
Feb 11, 2016
640
495
NATAKA MCHUMBA: Leo na Mimi nimeamua nivunje Ukimya Baada ya kuchoka kuitwa majina Mbalimbali Nimechoka kuitwa MUHUNI, Kuitwa BARCHELA, Kuitwa mkumbatia MTO, nimechoka sasa na mimi nataka kitandani kwangu usiku kuwe na Miguu minne. MAPENDEKEZO/VIGEZO 1.Awe Mtiifu, 2.Awe mpole kiasi na mcheshi kiasi, asiwe mpole saanaa wala asiwe mcheshi saaanaa. 3.Awe mvumilivu na subira. 4.Awe muaminifu. ktk mapenzi na ktk mali. 5.Awe mwanamke wa kimaendeleo. Vifuatavyo ni VIGEZO VYA MANDHARI YAKE/MUONEKANO WAKE: 1.Awe mrefu kama futi 6 na nusu hadi 7' 2.Awe na Rangi ya kati na kati wenyewe mnaita maji ya kunde iliyo choclate Asiwe mweusi sana wala mweupe sana. 3.BIKRA sio lazima bora MATITI yawe yamesimama tii. 4.Awe na BOGI la wastani lisiwe kubwa sana wala lisiwe dogo sana bora liwe tepetepe tu kidogo lililojigawa. 5.kwakua mi mwenyewe sura yngu ndevu kidogo basi nayeye pia awe ni mwenye sura ile ndefu kidogo lakini isiwe nyembamba sana. 6.Mwenye sauti yakike yani sauti legevu sio kma unaongea na mwanaume mwenzio. 7.Awe na macho yakike yaliyolegea sio kma unatazamana na mwanaume mwenzio. 8.Awe bado hajawai kuzaa hata mtoto mmoja. 9.Awe bado hajawai kuolewa. 10.Asiwe Bonge bora awe mwembamba Atakuja Kunenepea kwangu Asjal. 11.UMRI ni kuanzia ile siku tu Alovunja UNGO hadi miaka 26 mwisho au tukiwa sawasawa miaka 27 hamna neno staki alienizid umri asjenipiga vibao bure .. ALIE TAYARI ANIONE INBOX na sio lazima mpaka awe ni mwanamke alie humu Unaweza ukawa na mwanao Mdogo wako Jirani yako. Nipo sirious........kabisa........... NATAKA KULALA MIGUU MINNE.
 
Futi 6 na nusu na kuendelea hadi 7 sio kwa wanawake wa kitanzania, mwanamke wa kitanzania urefu huo wafate TWAWEZA watakusaidia kumtafta.

Hiko kimo zaidi ya MATIC, FELLAINI na POGBA wa Manchester united.
 
Wadada wengi wa Kitanzania kimo chao ni 5' to 5'11" hivi...

Sasa huyo mnayemtaka sijui mna mpango wa kufungua timu ya netball au basketball mnatafuta center...
 
Futi 6 na nusu na kuendelea hadi 7 sio kwa wanawake wa kitanzania, mwanamke wa kitanzania urefu huo wafate TWAWEZA watakusaidia kumtafta.

Hiko kimo zaidi ya MATIC, FELLAINI na POGBA wa Manchester united.
wanawake anaowataka ni wakalamajong atawapata wilayani kalamoja uko uganda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom