Wanawake tu,jibuni hili swali

Wanawake tu,jibuni hili swali

Ntandaba

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
922
Reaction score
1,487
Je,katika maisha yenu ya mapenzi hamjawahi kujijutia kwa kumkosa mwanamme ambaye ulitamani akuoe licha ya kujipendekeza kwake akutongoze ila ukaambulia urafiki wa kawaida tu?
Swali dogo la nyongeza,je ulijisikiaje pale mwanaume uliyetamani akuoe amemwoa rafiki yako?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom