Kijana Wa Makamo
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 212
- 116
X wangu nilishaenda jitambulisha kwao na yeye kwetu anatambulika. Kwa kawaida huwa anakuja kwangu, nampikia mda mwingine huwa namfulia kwa maamuzi yangu.
Kuna siku alikuja na nguo ili nimfulie kana kwamba ni jukumu langu, ikaibuka mada ya itabidi tuwe na dada wakazi ili awe anafanya hizo mambo kwasababu yeye kwao hawajazoeshwa fanya kazi.
Tukakubaliana na nkamwahidi kulifanyia kazi hilo swala kabla hata yakuingia kwa ndoa. Ilibidi niwasiliane na wazazi wangu, wakanambia wataniletea dada wa kazi ambaye atakuwa na maadili ili tusije sumbuka.
Dada wakazi tukapata na yuko vyema sana... Mambo yakaanza kwenda mlama, mara kwa mara X wangu akawa anajilinganisha nae sikujua tatizo ni nini?. Kiukweli dada wa kazi kwakweli mashaallah kila sekta mara trilioni zaidi ya X wangu, alichozidiwa ni elimu tu.
Isitoshe ni elimu ya kukaa darasani tu ila elimu ya dunia na maisha pia alikuwa amemgaragaza X!.Kilichotokea X akanikimbia wakati bado nlikuwa namwitaji.
Naomba ushauri nifanyeje ili X wangu arudi bado namwitajiiiii. Huyu dada wakazi amekuwa kama mdogo wangu, nimemwanzisha shule nw ili na yeye ajikomboe na maisha yake, kiukweli hadi shule matokeo yake ni yaviwango vinavyokubalika hadi kwa wakufunzi wake.