Kwa kipi hicho tulicho kukosea mpaka useme hiviTatizo watoto wengi waliopelekwa kuchezwa huwa wanaishia na mimba au kuolewa wakiwa wadogo maana sharti la mafunzo ni vitendo bwana. Mila ziendelee ila kuna vitu vitolewe kama kumridhisha mwanaume/mauno
Nimesema kipi kibaya mkuu?Kwa kipi hicho tulicho kukosea mpaka useme hivi
Nimesema kipi kibaya mkuu?
"nakunukuu "'Mila ziendelee ila kuna vitu vitolewe kama kumridhisha mwanaume/mauno"" hapo kwenye nyekundu sijafurahia kabisa mzigua wewe
Mkuu nisamehe kwa kutaka kuwakatishia utamu ila hivi vitu ndio vinaleta mtatizo. kwanza hayo mambo ya kuridhishana/mauno hayana formula huya yanakuja tu automatically mzuka ukipanda."nakunukuu "'Mila ziendelee ila kuna vitu vitolewe kama kumridhisha mwanaume/mauno"" hapo kwenye nyekundu sijafurahia kabisa mzigua wewe
SIamini kama yanakuja automatiki, lazima watu wafundishweMkuu nisamehe kwa kutaka kuwakatishia utamu ila hivi vitu ndio vinaleta mtatizo. kwanza hayo mambo ya kuridhishana/mauno hayana formula huya yanakuja tu automatically mzuka ukipanda.
Babe tumekukosea nini mama, hadi kutaka kutuhukumu hukumu kubwa kiasi hiki?Tatizo watoto wengi waliopelekwa kuchezwa huwa wanaishia na mimba au kuolewa wakiwa wadogo maana sharti la mafunzo ni vitendo bwana. Mila ziendelee ila kuna vitu vitolewe kama kumridhisha mwanaume/mauno
Nimesononeka saana."nakunukuu "'Mila ziendelee ila kuna vitu vitolewe kama kumridhisha mwanaume/mauno"" hapo kwenye nyekundu sijafurahia kabisa mzigua wewe
Mkuu nisamehe kwa kutaka kuwakatishia utamu ila hivi vitu ndio vinaleta mtatizo. kwanza hayo mambo ya kuridhishana/mauno hayana formula huya yanakuja tu automatically mzuka ukipanda.
Babe hata wewe?? kwani vyangu havikutoshi? na sijaenda huko mafunzoni sema utundu tu.Babe tumekukosea nini mama, hadi kutaka kutuhukumu hukumu kubwa kiasi hiki?
Eeh mwenyezi Mungu hili litupite mbali.
. Pole loveNimesononeka saana.
Mkuu unamfahamu Asa Akira yule dada kutoka bara la Asia kiboko yule.Kukata kiuno hakujawahi kumuacha mtu salama..
Kiuno kipi unachoongelea kwanza, kama vile vya kwenye video ya chura ya snura au kama Asa Akira akiwa 6*6..!!
You have a point there, tubadili umri wa kuwacheza? Ingawa raha ya samaki mkunje angali mbichiTatizo watoto wengi waliopelekwa kuchezwa huwa wanaishia na mimba au kuolewa wakiwa wadogo maana sharti la mafunzo ni vitendo bwana. Mila ziendelee ila kuna vitu vitolewe kama kumridhisha mwanaume/mauno
Oouh hapo tupo sambamba maana nilipatwa na mfadhaiko mkubwa saana nikajua nawe utastop...Babe hata wewe?? kwani vyangu havikutoshi? na sijaenda huko mafunzoni sema utundu tu.
Mauno hayawezi kuja kama hufeel mdundo. Yani utashangaa tu kiuno kinaenda chenyewe hata kama hujawahi kuyajua hayo mafunzo.Point kubwa sana, unaweza kuyakata kama Super Nyamwela mpaka ukabaki unajishangaa''ni mimi au naota"!!